
Kama ilivyo kawaida leo hii wakali wa ubashiri wamewatembelea wafanyabiashara wa vyakula wadogo wadogo kwa jina maarufu Mama Ntilie na kuwapatia Aprons ambazo kwa namna moja au nyingine zitawasaidia kwenye suala lao la upikaji wa vyakula.
Jumatano ya leo Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet, iliamua kufunga safari moja kwa moja na kuelekea mpaka Mwenge msafara ambao uliongozwa na Nancy Ingram Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo ambapo walifika eneo husika na kutoa Aprons kwa Mama Ntilie wa hapo.
Aprons huvaliwa mara nyingi na wapishi ambao wanapenda kuzingatia usafi wakati wa uandaaji wa chakula. Meridianbet walifika Mwenge na kupokelewa vizuri sana kwani kina Mama hao walikuwa na uhitaji mkubwa sana wa Aprons na kwa kuzingatia eneo hilo lina mzunguko wa watu hivyo ilikuwa ni rahisi sana kuwapata wafanyabiashara hao.
Vilevile leo hii michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli inakupatia mzigo mkubwa hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Je unajua ni kwanini Meridianbet walichagua kwenda kutoa Aprons hizo maeneo ya Mwenge?. Ni kwasababu eneo hilo limezungukwa na wafanyabiashara wengi sana na ni katikati ya mji hivyo Mama Ntilie wanakuwa wengi sehemu hiyo na hivyo uhitaji wa wao kutaka nguo hizo za kupikia unakuwa mkubwa sana.
Hii sio mara ya kwanza Meridianbet kutoa Aprons kwa Mama Ntilie, bali ni mara nyingine kwa sehemu nyingine. Aprons hizo si tu kwamba ni vazi la kazi, bali pia ni alama ya heshima, usafi, na uthubutu wa wanawake wanaochochea uchumi wa chini kila siku kwa kujituma.
Afisa Mahusiano wa Meridianbet Nancy Ingram alisema kuwa, “Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula katika maizngira yaliyosafi kabisa na hasa kuwavutia wateja ambao wanakuja kula chakula kwani wankuwa wanaamini kuwa chakula hicho kimeandaliwa kwenye mazingira safi, hivyo wazitunze”
Kina mama wa eneo hilo baada ya kupokea Aprons hizo waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada ambao wametoa na kuahidi kuwa wataandaa chakula kwenye mazingira yaliyo safi, kusema kuwa msaada huo pia unatoa hamasa mpya katika kufanya kazi hiyo.
Pia Meridianbet inakusisitiza uendelee kufanya ubashiri kwenye mechi ambazo zinaendelea ili uweze kupiga mkwanja mzito kuelekea urejeo wa ligi kuu mbalimbali msimu huu wa 2025/26. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Odds kubwa na ushindi mkubwa zaidi kwa Bet Boost
Furahia ushindi wa mara tatu na Meridianbet
Ni marufuku watoto michezo ya kubahatisha – GBT