
Wakati dunia inaendelea kukimbia kwa kasi ya teknolojia na burudani, kuna fursa chache zinazoweza kukuvutia kiasi cha kukufanya uache kila kitu ulichokuwa unafanya na hii ni mojawapo. Fikiria wewe, Mtanzania wa kawaida, ukiamka alfajiri moja, ukiwa na begi lako dogo, pasipoti mkononi, na tiketi ya ndege inayokupeleka moja kwa moja hadi visiwa vya Malta, mahali pa ndoto, historia na hadhi ya kifalme. Si ndoto tu. Hii ni uhalisia kupitia Meridianbet.
Katika kampeni yao ya kibunifu na ya kusisimua inayojulikana kama The Festival Malta 2025, Meridianbet wanafungua mlango wa ulimwengu wa burudani kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, si kwa ushindi wa pesa pekee, bali kwa zawadi kubwa isiyo na mfano, safari ya kifahari hadi Portomaso, Malta, kwa ajili ya kushiriki tamasha kubwa la kimataifa la Poker.
Wengi wetu hucheza michezo ya mtandaoni kwa ajili ya starehe au kutafuta bahati ya kupata mkwanja. Lakini vipi kama mchezo huo huo unakuwa njia ya kukupeleka kwenye meza moja na wachezaji wa kimataifa, ukicheza mbele ya jua la Mediterania, huku glasi ya divai au kahawa ya asubuhi ikiwa pembeni yako? Kila kitu kuanzia hoteli ya nyota tano, ada ya mashindano, hadi posho ya matumizi ya kila siku kinalipiwa kikamilifu na Meridianbet. Kitu pekee utakacholazimika kutoa ni nauli yako pekee.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Kwa wale wanaojiona ni wakali wa Poker, Meridianbet wamekuwekea njia rahisi kabisa. Unachotakiwa kufanya ni kushiriki michezo ya Playtech Poker. Mashindano ya mchujo yanafanyika kila siku, huku fainali zake zikipigwa kila Jumanne, Ijumaa na Jumapili.
Kuanzia TZS 750 tu, unaweza kuingia kwenye mchezo na kama utapiga hatua hadi fainali, unaweza kujikuta ukishinda kifurushi cha thamani ya zaidi ya TZS milioni 5.5, kikikufungulia mlango wa safari ya ndoto.
Tayari kampeni imeanza tangu Julai 14, 2025, na itahitimishwa Septemba 8, hivyo huu ni wakati wa kuchukua hatua. Usisubiri kuona picha za washindi kwenye Instagram wakati wewe ulikuwa na nafasi ya kuwa mmoja wao. Usikubali iishe bila wewe kujaribu.
Fursa kama hizi haziji mara mbili. Meridianbet haikuanzisha kampeni hii kwa watu wachache tu bali imeanzishwa kwa ajili ya watu wa kawaida wenye ndoto kubwa. Wale wanaojua kuwa mchezo unaweza kuwa njia ya kubadilisha maisha.
Kwa hiyo, kama kuna wakati wa kufanya jambo la kipekee basi ni sasa. Fungua akaunti yako Meridianbet, ingia kwenye michezo ya Playtech Poker, na weka jina lako kwenye orodha ya wanaowania kuwakilisha Tanzania kwenye meza za kimataifa za Poker.
ZINAZOFANANA
Biteko awaongoza washiriki 12,000 Mbio za NBC Dodoma Marathon, Mil 700 zakusanywa
Ijumaa ya mamilioni, Meridianbet yazidi kuwazawadia wateja wake waaminifu
Ijumaa yako ipatie ladha ya ushindi kupitia Lucky Friday ya Meridianbet