
Katika anga ya burudani ya michezo ya kubashiri na kasino, wateja wamekuwa wakihitaji zaidi ya ushindi wa kawaida. Wanahitaji kuthaminiwa, kutambuliwa, na kurudishiwa kile wanachokiweka kila siku kwenye majukwaa wanayoyatumia. Na Meridianbet, jukwaa namba moja la michezo ya kubashiri nchini Tanzania, limekuja na suluhisho bora kabisa. Bonasi ya uaminifu kwa wiki inayokupa fursa ya kujishindia hadi TSH 10,000,000 kila Ijumaa.
Kwa kutumia kauli mbiu ya kuvutia ya Loyalty Pays, Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni zaidi ya kampuni ya kubashiri, ni taasisi inayothamini mchango na uaminifu wa wateja wake. Kwa kila wiki, Meridianbet inawazawadia wateja waliotumia zaidi jukwaa lao kwa bonasi kabambe ya kasino, na sasa ni wakati wako kung’ara.
Bonasi hii ya Loyalty Pays imekuja mahsusi kwa ajili ya wateja wanaojihusisha na michezo ya kasino kila siku. Meridianbet imeitenga siku ya Ijumaa kuwa siku ya heshima kwa wateja wake loyal. Kama wewe ni mmoja wa wale wanaowekeza muda, fedha, na kujituma katika michezo ya kasino kupitia Meridianbet, basi zawadi hii ni kwa ajili yako.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Mamilioni haya sio ya bure, lakini njia ya kuyafikia ni nyepesi kuliko unavyoweza kudhani. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na akaunti halali ya Meridianbet iliyosajiliwa kupitia tovuti yao au kupitia app yao rasmi. Kisha, cheza michezo ya kasino kwa kutumia pesa taslimu kuanzia Ijumaa hadi Alhamisi saa 5 usiku.
Ili kufuzu kupokea bonasi, unahitajika kucheza kwa kiwango cha angalau TSH 50,000 kwa siku kwa siku zote saba za wiki. Kwa kufanya hivyo, unajikusanyia pointi zenye thamani ya TSH 2,500 kwa kila pointi. Kadri unavyocheza zaidi na kwa kiwango kikubwa, ndivyo unavyojizolea pointi nyingi na kukuza nafasi yako ya kuchukua bonasi kubwa zaidi.
Ni muhimu pia kufahamu kuwa aina ya mchezo unaocheza ina athari moja kwa moja kwenye idadi ya pointi utakazopata. Kwa mfano, Slots na Games zina alama 4 kwa kila mzunguko, Roulette na Poker zina alama 1 kwa kila mchezo huku Blackjack na Quiz Games zikiwa na alama 0.5 kwa kila mchezo. Hii ina maana kuwa mkakati mzuri ni kuchagua michezo yenye alama nyingi kama Slots na Games ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuvuna zaidi.
Kiasi cha juu kabisa unachoweza kutoa kama ushindi kutoka kwenye bonasi moja ni TSH 150,000 pekee. Hivyo ni muhimu kucheza kwa makini, kwa uelewa na kwa mikakati ili kuvuna kikamilifu faida ya promosheni hii.
Ikiwa wewe ni mpenzi wa michezo ya kasino na unataka kuona faida ya muda na pesa zako, basi hakuna mahali pengine pa kuangalia zaidi ya Meridianbet. Hii ni nafasi yako ya kugeuza siku za Ijumaa kuwa chemchemi ya mamilioni, furaha na ushindi.
ZINAZOFANANA
Ijumaa yako ipatie ladha ya ushindi kupitia Lucky Friday ya Meridianbet
NBC yakabidhi pikipiki 10 kwa Polisi kuimarisha usalama, yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma
NBC, Vodacom na Sunderland wazindua Mfumo wa mauzo ya jezi za Taifa Stars mtandaoni