
Wiki inakuwa ndefu. Kazi zinakuchosha, na jioni ya Ijumaa inakua kama mwelekeo wa kupumzika tu. Lakini vipi kama utasikia kuwa kuna njia rahisi ya kuipa Ijumaa yako msisimko mpya? Ndiyo, Meridianbet wamekuja na ofa ya kusisimua inayofanya Ijumaa kuwa ya kipekee, inaitwa Lucky Friday.
Kwa mashabiki wa michezo ya namba hasa Lucky 6 na Keno, huu ndio wakati wa kuibadilisha Ijumaa yako kuwa tukio la ushindi. Kupitia promosheni ya Lucky Friday, Meridianbet wanakupa nafasi ya kipekee ya kufurahia 10% cashback kila Jumamosi, kutokana na hasara uliyopata Ijumaa iliyopita. Kwa lugha rahisi, kila tiketi isiyoshinda haifutiki bali ina thamani ya kurudisha sehemu ya fedha zako. Hii si hadithi ya kubuni, bali ni fursa ya kweli ya kugeuza hasara kuwa zawadi.
Kinachofurahisha zaidi ni urahisi wa kushiriki. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au kutumia app ya simu kila Ijumaa. Kisha cheza Lucky 6 au Keno kwa tiketi ya kuanzia TZS 500. Baada ya hapo, kaa mkao wa kula, maana Jumamosi ikifika kabla ya saa 5:00 asubuhi, Meridianbet wataweka 10% ya jumla ya hasara zako moja kwa moja kwenye akaunti yako kama cashback. Hii ni pesa taslimu, si ya kubadilishana na pointi, si ya kusubiri. Ni yako kwa matumizi unayopenda.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Katika ulimwengu wa promosheni, si kawaida kupata zawadi kutokana na kupoteza. Lakini Lucky Friday inavunja ukuta huo. Hata kama ulicheza tiketi nyingi na ukakosa ushindi, bado unaweza kujihakikishia bonasi ya hadi TZS 25,000 kwa wiki. Ndiyo, yani unavyocheza zaidi, unavyohatarisha zaidi ndivyo nafasi yako ya kurejeshewa inavyokuwa kubwa.
Lakini kama ilivyo kwenye promosheni yoyote, kuna masharti. Moja ya masharti ya Meridianbet kwenye ofa hii ni kwamba tiketi zilizolipiwa kwa kutumia bonasi hazitahesabiwa katika promosheni hii. Aidha, iwapo kutakuwa na dalili za udanganyifu, matumizi mabaya ya sheria au changamoto za kiufundi, Meridianbet wanahifadhi haki ya kusitisha au kurekebisha promosheni hii muda wowote.
Lucky Friday sio tu kwamba inatupa zawadi ya pesa, bali inabadilisha mtazamo wetu kuhusu michezo ya kubahatisha. Ni burudani yenye thamani, yenye upendo wa kweli kutoka kwa Meridianbet, watoa huduma wanaojali. Ni nafasi ya kutabasamu hata pale ambapo mambo hayaendi kama ulivyotarajia.
Huu ni wakati wa kuandika ukurasa mpya. Ipe Ijumaa yako sababu ya kutajwa. Iwe ni siku ya bahati, ya michezo ya namba, na ya zawadi. Jiunge na Meridianbet leo, cheza Lucky 6 na Keno, na subiri Jumamosi yako ya bashasha.
ZINAZOFANANA
Ijumaa ya mamilioni, Meridianbet yazidi kuwazawadia wateja wake waaminifu
NBC yakabidhi pikipiki 10 kwa Polisi kuimarisha usalama, yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma
NBC, Vodacom na Sunderland wazindua Mfumo wa mauzo ya jezi za Taifa Stars mtandaoni