July 16, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Bodaboda Mbezi Beach yapokea msaada kutoka Meridianbet

 

Ikiwa kama mwendelezo wa kurejesha kwa jamii, leo hii wakali wa ubashiri Meridianbet wamewafikia Dereva Bodaboda wanaopatikana Mbezi Beach Africana na kuweza kuwapatia Reflectors pamoja na Helmets ambazo zitawasaidia kwenye kujikinga na ajali za barabarani hasa nyakati za usiku.

Hii imekuwa ni desturi kwa kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania kuwafikia watu mbalimbali wenye uhitaji mkubwa kabisa huku malengo yakiwa ni kuhakikisha kugawana kile kidogo ambacho wanakipata na jamii hii inayotuzunguka. Vilevile unaweza kubashiri mechi kibao zinazoendelea duniani. ODDS za kibabe zipo hapa sasa.

Msafara huo wa kwenda Mbezi Beach kwaajili ya utoaji wa reflectors hizo pamoja na helmets uliongozwa na Afisa mahusiano wa Meridianbet Bi Nancy Ingram akiwa na jopo lake ambao moja kwa moja walipokelewa kwa shangwe kubwa sana wa bodoaboda wa eneo hilo kwani ujio wao ulikuwa kama neema kwa wakazi wa eneo hilo.

Akizungumza wakati wa tukio hilo, mwakilishi wa Meridianbet amesema, “Tunatambua mchango mkubwa wa madereva wa Boda Boda katika uchumi na huduma za usafirishaji wa haraka. Kama sehemu ya kurudisha kwa jamii, tumeona ni muhimu kuunga mkono jitihada za kuhakikisha usalama wao barabarani. Tunaamini reflectors na helmets zitapunguza hatari za ajali na kuongeza mwamko wa kuvaa vifaa kinga.”

Baada ya kupokea msaada huo Bodaboda wa eneo hilo waliishurukuru sana Meridianbet kwa kuwafikia na kutambua mchango wao kwenye jamii kwani kama inavyofahamika jiji la Dar es salaam ni jiji kubwa sana Tanzania na lina wakazi wengi hivyo kutokana na changmoto za usafiri ambazo wananchi wanakumbana nazo, Bodaboda ndio usafiri mwingine pendwa kabisa amabo hutumiwa na watu kwa kufika kirahisi zaidi.

Ukiachana na hilo pia unaweza kupiga pesa fasta ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Hivyo Meridianbet ikaona kwasababu usafiri huu unapendwa sana ni vyema kuwazingatia wao kwa kuwapatia Helmets na Reflectors za kuwasaidia pindi wakiwa kwenye majukumu yao.

Vilevile Meridianbet inaendelea kuwa mstari wa mbele katika kushiriki shughuli za kijamii zenye lengo la kuboresha maisha ya Watanzania. Hii ni sehemu ya mipango endelevu ya Kampuni katika kusaidia makundi mbalimbali yenye uhitaji na kuchangia maendeleo ya jamii. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!