July 15, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Festival Malta 2025 inawaita, ni kwa Qualifiers wa Meridianbet

Fikiria hii, unashiriki qualifiers za Playtech Poker kupitia Meridianbet Tanzania, kwa stake ya kuingia kati ya TZS 750 hadi TZS 300,000 halafu unajishindia nafasi ya kushiriki Festival kubwa zaidi za Poker Duniani, Festival Malta 2025.

Kuanzia Julai 14 hadi Septemba 8, 2025, qualifiers zinafanyika kila siku kupitia satellites, na huku main events zikiwa ni kila Jumanne, Ijumaa, na Jumapili.

Kushinda qualifier kuna maana ya kushinda safari kwenda Malta kwa package kamili ya TZS 5.55 milioni, tiketi ya Main Event yenye thamani ya TZS 1.67 millioni, malazi ya jumla ya siku 6–7, pesa ya ziada ya TZS 758,778, pamoja na TZS 750,000 katika akaunti ndani ya masaa 72.

Tofauti na qualifiers za moja kwa moja, hapa unapata nafasi ya kurudi nyuma na kuongeza stake lakini pia kupata “min cash” ikiwa haujaingia final.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Haki na uwazi ni msingi, hakuna maneno, hakuna udanganyifu, Meridianbet inahakikisha haki kwa kutoa mamlaka ya kufuta matokeo yanayotokana na udanganyifu au matatizo ya kiteknolojia.

Wakati huo huo, qualifiers inafanya mchezo kuwa wa kihistoria. Kila mshindi ana nafasi ya kujinyakulia Main Event, lakini mshindi ataondoka na package moja pekee huku akiwa na nafasi ya kushinda seat za ziada hata kama ameshinda nyingine hapo awali.

Ushindi unakupa nafasi ya kukutana na wachezaji wengine wengi ndani ya Mediterranean, kwenye kasino kubwa ya Portomaso Casino kutoka Septemba 15–21, 2025, ambapo utashiriki katika sherehe ya poker yenye shughuli zaidi ya 50 ikiwa ni jackpot ya michezo ya kasino na burudani. Haswa, hii sio safari tu, ni kutengeneza kumbukumbu.

Jisajili sasa na meridianbet kisha shiriki qualifiers hizi na uwenda nafasi ikawa upande wako na ukajishindia ofa hii bab kuubwa zaidi kuwahi kutolewa kwenye jamii ya wacheza kasino nchini Tanzania.

About The Author

error: Content is protected !!