
Karibu LOOT Legends, promosheni kubwa na ya kusisimua kutoka Meridianbet, kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri Tanzania. Hii siyo tu promosheni ya kawaida, bali ni safari ya wiki 10 ya msisimko, ushindani, na zawadi za pesa taslimu zinazofikia hadi TZS 1.5 bilioni.
Ndiyo, bilioni moja na nusu zinazotolewa kwa wachezaji wa sloti, na hakuna masharti ya kubashiri tena ushindi wako, fedha ni zako moja kwa moja.
Kila wiki, Meridianbet inaandaa mashindano ya leaderboard ambapo mchezaji mwenye ushindi mkubwa zaidi kulingana na dau aliloweka kwenye spin moja huibuka kidedea. Hii inamaanisha kwamba unaweza kuanzia na dau la chini kabisa la TZS 280, na endapo utapata ushindi mkubwa, unapata pointi nyingi zinazoweza kukuweka juu kabisa kwenye orodha ya washindi. Kumbuka, kinachohesabiwa ni mzunguko mmoja bora zaidi kwa kila mchezaji, hivyo kila spin ni nafasi mpya ya kutengeneza historia.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na LOOT Legends, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Meridianbet inatoa jumla ya TZS 150,000,000 kila wiki kwa washindi wa nafasi mbalimbali, huku zawadi ya juu kabisa kwa mshindi ikiwa ni TZS 30,000,000 pesa taslimu isiyo na masharti ya kuizungusha tena. Ni fedha halali, inayoweza kutolewa papo hapo, ukishinda tu.
Ili kushiriki, ni rahisi mno. Fungua app au tovuti ya Meridianbet, jiunge kupitia pop-up au kitufe cha Join Now kwenye mchezo husika, na anza kucheza michezo ya sloti iliyoteuliwa kama Gold Blitz Extreme, Ancient Fortunes: Poseidon MEGAWAYS, 12 Masks of Fire Drums, Arena of Gold, na mingine mingi. Mzunguko wowote wa pesa halisi unaozidi TZS 280 unahesabika kama spin inayofuzu.
Mwishoni mwa kila wiki ya promosheni, washindi wanapokea taarifa na fedha huingia moja kwa moja kwenye wallet ya mchezaji. Na usiwe na wasiwasi, kama hujashinda wiki hii, bado una nafasi wiki ijayo. Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kujaribu spin zako bora zaidi.
LOOT Legends siyo tu promosheni, ni mbio ya ubingwa, ni changamoto ya kweli kwa wapenzi wa sloti, na ni nafasi ya pekee ya kubadilisha maisha kwa spin moja tu. Hii ndiyo nafasi yako ya kuingia kwenye historia ya Meridianbet kama mshindi wa kweli. Jiunge leo na kuwa LOOT Legend wa kesho.
ZINAZOFANANA
Super Heli kukupa Samsung A25 kutoka Meridianbet
Utajiri kuangukia mlangoni kwako leo na Playson Short Races
Simu mpya nje nje, cheza Aviator uwe Mshindi.