
Meridianbet imekuletea Lucky Rush Tournament kutoka Playtech, promosheni ya kusisimua inayokupa nafasi ya kushinda sehemu ya TZS 1.5 bilioni. Kuanzia tarehe 27 Juni hadi tarehe 03 Agosti 2025, washiriki wa michezo hii wataingia kwenye mashindano matano ya leaderboard, kila moja likiwa na zawadi ya TZS 300 milioni kwa washindi 5,000. Hii ni fursa yako ya kugeuza spins za sloti kuwa ushindi mkubwa. Ni rahisi sana kwako mwanafamilia wa meridianbet kujinyakulia kitita hiki cha pesa.
Ili kushiriki, kwanza hakikisha una akaunti ya meridianbet kisha jisajili (opt-in) kwenye kila leaderboard kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au kwenye app ya Meridianbet, kwani ushiriki si wa moja kwa moja unakutaka ujisajili mwenyewe. Hakuna dau la chini linalohitajika, na zawadi zote ni pesa taslimu zisizo na masharti ya kuchezwa tena, zinazoweza kutolewa mara moja.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Pointi zinapatikana kulingana na uwiano wa ushindi dhidi ya dau kwa kila spin. Kwa mfano, dau la TZS 5,000 linaloshinda TZS 250,000 litakupa pointi 50. Spins 25 bora kati ya 5,000 za mwanzo ndizo zitakazoamua nafasi yako kwenye leaderboard, hivyo lenga ushindi mkubwa wa spin moja kwa kuweka dau kubwa ili pointi ziwe nyingi zaidi.
Michezo inayoshiriki inajumuisha sloti maarufu za Playtech kama Age of the Gods: King of Olympus, God of Storms, Fire Blaze: Pharaoh’s Daughter, Blue Wizard, Cash Collect, Breaking Bad: Cash Collect, Mega Fire Blaze: Wild Pistolero, na Piggies and the Bank: Cash Collect & Link.
Ikitokea kukawa na sare ya pointi baina ya wachezaji, basi mchezaji aliye na spins nyingi zilizobaki au aliyepata pointi mapema atachukua nafasi ya juu. Ni wachezaji waliopata pointi zaidi ya 1 pekee wataozingatiwa kwenye orodha ya washindi.
Usikose nafasi hii ya kushinda mamilioni. Pakua application ya Meridianbet au tembelea meridianbet.co.tz, jiandikishe kwenye leaderboard, na anza kucheza sloti zako unazozipenda leo.
Shiriki promosheni hii na uwenda ukawa ni miongoni mwa washindi wa Lucky Rush Tournament watakaoondoka na kitita kikubwa cha pesa kutoka meridianbet.
ZINAZOFANANA
GF Truck & Equipment yaibuka mshindi wa jumla Maonesho ya Sabasaba 2025
Furahia spin 50 za bure ukicheza Wild White Whale
LOOT Legends 2025: cheza sasa, shinda pesa taslimu na Meridianbet