July 3, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Shinda Samsung Galaxy A25 mpya kutoka Meridianbet.

 

Mwezi wa Julai umefika na Meridianbet inakuletea promosheni kabambe itakayokupa nafasi ya kuondoka na zawadi ya kifahari. Kuanzia Julai 1 hadi Julai 31, 2025, wateja wote waliosajiliwa kupitia tovuti ya meridianbet au kwenye app ya Meridianbet, wanapata nafasi ya kushinda moja kati ya simu tano mpya aina ya Samsung Galaxy A25.

Unapenda kubashiri mechi au michezo ya kasino. Hii ni ofa yako, Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau na kucheza kwani kila beti unayoweka kwenye michezo au kasino inaongeza nafasi yako ya kuingia kwenye droo ya ushindi. Kadri unavyoendelea kucheza, ndivyo nafasi zako za kushinda zinavyokuwa kubwa zaidi.

Droo ya kuwatafuta washindi itafanyika tarehe 1 Agosti 2025, na majina ya washindi yatatangazwa siku hiyo hiyo. Hakikisha taarifa zako kwenye akaunti yako ya Meridianbet zipo sahihi na zimesasishwa ili usikose taarifa ya ushindi wako. Tafadhali kumbuka kuwa Turbocash na system tickets hazihesabiwi katika promosheni hii.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma. Mbali na Super Heli, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Hivi kwanini ucheze kawaida tu, ilhali unaweza kucheza kwa nafasi ya kushinda simu mpya? Fikiria simu yako inaita na unapewa taarifa kwamba “Hongera! Umeshinda Samsung Galaxy A25 mpya kabisa kupitia Meridianbet!”  si ndoto, ni zawadi halisi.

Meridianbet inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii wakati wowote bila taarifa ya awali. Vigezo na masharti ya kawaida ya Meridianbet vinatumika, hivyo ni muhimu kuvisoma kabla ya kushiriki.

Sasa ni zamu yako. Tembelea meridianbet.co.tz, jisajili au ingia kwenye akaunti yako, weka dau, cheza michezo unayopenda, na weka jina lako karibu na ushindi. Samsung Galaxy A25 inaweza kuwa yako mwezi huu.

About The Author

error: Content is protected !!