July 1, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yawafikia wakazi wa Magomeni, Manzese

 

Katika kuendelea dhamira yao ya kurejesha kwa jamii wakali wa ubashiri Meridianbet leo hii waliamua kuwafikia wakazi wa Magomeni na Manzese na kuwapatia msaada wa mahitaji muhimu ikiwemo vyakula ambavyo vitawasaidia kuendesha maisha yao.

Kama tunavyojua jamii yetu ambayo inatuzunguka baadhi yao uchumi wao ni wa kati wengine wa juu na wengine wana uchumi mdogo hivyo wanahitaji kushikwa mkono ili waweze kuishi kama wengine. Uhitaji ni mkubwa katika sehemu nyingi za jiji la Dar es salaam kutoka ana wingi wa watu.

Kwahiyo kutokana na hilo, Meridianbet waliamua leo hii Jumatatu ya mwisho wa mwezi Juni waamue kuwatembele wakazi wa Magomeni na Manzese na kuwapatia msaada wa vyakula ikiwemo sukari, unga wa ugali yaani sembe, mafuta ya kupikia, mchele, na sabuni pia.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo, Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Meridianbet, Nancy Ingram alisema, “Meridianbet tunaamini katika kurudisha kwa jamii. Tunatambua kuna watu wengi wanaopitia magumu na jukumu letu kama kampuni si tu kufanya biashara bali pia kuwa sehemu ya suluhisho. Tumekuwa tukifanya shughuli kama hizi mara kwa mara ili kusaidia jamii zinazotuzunguka.”

Baada ya kupokea msaada huo wakazi hao wa Magomeni na Manzese waliishuku sana Meridianbet kwa kufika na kuwapelekea msaada huo wa vyakula kwani hiyo inamaanisha kuwa ni jinsi gani wameona umuhimu wao na uhitaji ambao wanao na kuwaomba kuwa warejee siku nyingine kwani bado watu wengi wanataka msaaa wao.

Meridianbet pia inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Meridianbet si kwamba wapo vizuri tuu kwenye kutoa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Bali pia wapo vizuri kwenye michezo ya kasino ya matandano ikiwemo AVIATOR ambao ukiwa ni moja ya mchezo pendwa kabisa. Jisajli hapa.

Ukija huku kwenye CSR ndio usiseme kila mwezi huhakikisha kufanya zoezi hili la krejesha kwenye jamii zaidi ya mara mbili ili kutoa shukrani na kutambua kuwa umuhimu wa jamii kwao, kwani bila wao ni ngumu sana kufanya biashara.

Zoezi hili ni sehemu ya mpango endelevu wa CSR wa Meridianbet unaolenga kuboresha ustawi wa jamii kwa kugusa makundi mbalimbali yenye uhitaji kama shule, vituo vya afya, na familia zenye changamoto za kiuchumi.

Meridianbet inaahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine ili kufanikisha miradi inayolenga kubadilisha maisha ya Watanzania wengi zaidi na kuhakikisha jamii inapata matumaini mapya ya kesho iliyo bora.

About The Author

error: Content is protected !!