June 21, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Tangaza vita ya bahati! Shinda na ndani ya kasino na 3 Oaks

 

Kila iitwayo leo, wakali wa ubashiri Tanzania wanakuletea promosheni kali na za uhakika ambazo zitakufanya ujiondokee na kitita cha pesa.  Safari hii Meridianbet wamekuaj na promosheni ya 3 OAKS ambayo unaweza ukajishindia zawadi kibao ikiwemo pesa taslimu.

Mashindano haya ya 3 OAKS yameanza jana tarehe 20 na yatamalizika 3 Julai mwaka 2025 ambapo wateja wa Meridianbet ambao wanataka kushiriki mashindano haya wanatakiwa wawe na umri kuanzia miaka 18 na kuendelea.

Lakini pia ukiacha kuwa washiriki wanatakiwa kuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea, lazima pia wawe na akaunti halali iliyosajiliwa na Meridianbet. Hivyo basi kama bado hujajisajili wakati ndio huu wa kutusua mkwanja na promosheni hii ya kibabe kabisa.

Michezo ambayo itashiriki kwenye promosheni hii ya 3 OAKS ndani ya Meridianbet ni pamoja na Aztec Fire hold an win, Olympion Gods, Candy Boom, Thunder of Olympus, Golden Teapot, Queen of the Sun, Hit the Gold na mingine mingi. Jisajili na ushiriki sasa.

Ukiachana na hilo, Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Katika promosheni hii wachezaji watashindana kulingana na idadi ya mizunguko (spins) watakayofanya kwenye michezo yote ya 3 OAKS, huku dau la chini kabisa kwa kila mzunguko ni 500 TZS. Vilevile zawadi za washindi 15 zitatolewa kama ifuatavyo,

  • Mshindi wa 1 atapata 1,000,000 TZS
  • Mshindi wa 2 atapata 500,000 TZS
  • Mshindi wa 3 atapata 250,000 TZS
  • Mshindi wa 4 atapata 250,000 TZS
  • Mshindi wa 5 atapata 100,000 TZS
  • Mshindi wa 6-10 atapata 75,000 TZS
  • Mshindi wa 11-15 atapata 50,000 TZS

Ambapo zawadi hizo za washindi 15 zitakuwa ni pesa taslimu kabisa, hivyo changamkia fursa hii ndani ya Meridianbet. Pia unaweza ukabashiri mechi za ligi mbalimbali Duniani kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Kwa wale wanaopenda ushindani na furaha ya ushindi, mashindano haya ni nafasi ambayo huja mara chache. Huna haja ya kuwa mchezaji mzoefu  kila mtu ana nafasi sawa ya kushinda. Unachohitaji kuingia kwenye akaunti yako na kuanza kucheza michezo mbalimbali.

About The Author

error: Content is protected !!