
Kampuni namba moja kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni Tanzania, Meridianbet, imekuja na promosheni bab kubwa mwezi huu wa Juni 2025 kwa kuwapa wateja wake nafasi ya kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25 kila Jumatatu ya wiki. Promosheni hii, inayokwenda kwa jina maarufu la “Paa na Super Heli, Shinda Samsung A25″, ni moja ya hatua madhubuti kutoka Meridianbet ya kuwapa thamani na kuwakumbuka wateja wake waaminifu.
Namna ya Kushiriki:
Jisajili au ingia kwenye akaunti yako kupitia meridianbet.co.tz au app ya Meridianbet.
Hakikisha akaunti yako ni halali na umeingia ndani ya kipindi cha promosheni, yaani kuanzia 1 hadi 30 Juni 2025.
Cheza mchezo wa Super Heli, kwani kila unapocheza unakua umejiweka kwenye nafasi nzuri Zaidi ya kushinda simu ya Samsung A25.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# Au tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Zawadi Zinazotolewa:
Washindi wawili (2) watapewa simu mpya aina ya Samsung A25 kila siku ya Jumatatu.
Jumla ya washindi 8 watatangazwa na kuzawadiwa simu hizo za kisasa kwa mwezi mzima wa Juni.
Mazingatio:
Promosheni hii ni kwa wateja wote wa Meridianbet waliosajili akaunti zao nchini Tanzania.
Meridianbet ina haki ya kufanya mabadiliko au kusitisha promosheni hii bila kutoa taarifa ya awali.
Masharti ya kawaida ya bonasi na matumizi ya Meridianbet yatazingatiwa.
Hii ni fursa hadhimu kwako kumiliki simu ya kisasa bure kabisa kwa kucheza mchezo bira wa Super Heli kutoka Meridianbet.
ZINAZOFANANA
3 Oaks Gaming yatua Meridianbet, mchezo mpya, ushindi mpya
NBC, Jubilee Allianz waungana kuwajengea uwezo Wakandarasi Z’bar
Sanlam Insurance kutumia Mbio za NBC Dodoma Marathon kufikisha elimu ya Bima