June 16, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Je umejiunga?,  weka pesa Meridianbet upate bonasi kubwa zaidi

WABABE ambao wamebobea kwenye michezo ya kasino na kubashiri Tanzania Meridianbet imekuja na ofa babkubwa kwa wateja wake ambapo ukiweka pesa kwa mara ya 1, 2, na 3 utapata boasi nzuri ya ukaribisho.

Kama bado hujajisajili na Meridianbet fursa ndio hii hapa na unaweza ukatumia mtandao wowote kuingiza pesa yako Meridianbet na kuanza kucheza michezo ya Kasino na kubashiri mechi unazotaka mara nyingi zaidi ili upate bonasi nzuri.

HIVI HAPA VIGEZO VYA KUPATA BONASI

  • Promosheni hii ni halali kwa wateja ambao walisajiliwa kuanzia tarehe 22/12/2024
  • Vilevile kila mchezaji ambaye amesajiliwa kwenye tovuti ya Meridianbet atatakiwa kuweka pesa kuanzia 1000 au zaidi na kutumia pesa hiyo yote, ambapo atapata bonasi ya michezo ya 150% ya dau la kwanza, Bonasi ya michezo ya 200% za dau lake la pili, 250% ya dau lake la tatu au hadi mizunguko 150 ya bure ya kasino kwenye mchezo wa Sloti wa Expanse Pia Premium kama zawadi ya dau lake la la kwanza, pili na tatu au hata zote mbili ikiwa atakidhi masharti yote ya kupata bonasi hii.
  • Ili kupata bonasi hii lazima mchezaji lazima azungushe hilo dau lake la kwanza ndani ya siku 6, dau lake la pili ndani ya siku 8, na dau lake la tatu ndani ya siku 10 tangu wakati wa usajili wao. Ikiwa wataweka pesa zao baada ya siku zikizotajwa hapo basi watakuwa hawajakidhi vigezo vya promosheni hii.
  • Tiketi ambazo zitafanyiwa Turbo Cash hazitahesabiwa kwenye kiwango kilichozungushwa.
  • Kumbuka kuwa uzungushaji utahesabiwa tuu kwenye michezo ya Sloti ya Kasino.

DAU LA KWANZA

Mchezaji lazima atumia dau lake la kwanza 100% kwa kubashiri michezo kwa Odds ya 1.95 au zaidi kwa mzunguko wa mara 3 kwenye Sloti ambapo dau hilo lazima litumike ndani ya siku 6 kutoka wakati wa usajili.

  • Endapo kiasi cha kwanza kilichowekwa na mchezaji ni mpaka 4999 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 20 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 5000 mpaka 14900 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 50 za bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 15000 mpaka 29900 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni 30000+ na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse

Meridianbet inasisitiza pia kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

DAU LA PILI

Mchezaji lazima atumie dau lake la kwanza 200% kwa kubashiri michezo kwa Odds 1.95 au zaidi au kwa mzunguko mara 3 kwenye Sloti  ambapo dau lazima litumike ndani ya siku 8 kutoka wakati wa usajili.

  • Endapo kiasi cha kwanza kilichowekwa na mchezaji ni mpaka 4999 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 20 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 5000 mpaka 14900 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 50 za bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 15000 mpaka 29900 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni 30000+ na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse

DAU LA TATU

 Mchezaji lazima atumie dau lake la kwanza 250% kwa kubashiri michezo kwa Odss 1.95 au zaidi au kwa mzunguko  wa mara 3 kwenye Sloti, ambapo dau lazima litumike ndani ya siku 10 kutoka wakati wa usajili.

  • Endapo kiasi cha kwanza kilichowekwa na mchezaji ni mpaka 4999 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 20 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 5000 mpaka 14900 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 50 za bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 15000 mpaka 29900 na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Endapo kiasi kilichowekwa na mchezaji ni 30000+ na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye Pia Premium kutoka Exapanse
  • Kiasi kilichopatikana kwenye mizunguko ya bure kinatakiwa kizungushwe mara 40 kwenye michezo ya Sloti ya Pia Premium kuweza kuhamisha pesa kwenda kwenye akaunti ya pesa halisi ya mchezaji
  • Halafu ndipo mchezaji atapata ujumbe kuhusiana na kiasi cha pesa kinachowezwa kuhamishwa kwenye akaunti ya pea halisi kutoka kwenye mizunguko ya bure
  • Endapo mchezaji atajiondoa kwenye promosheni kabla ya kukidhi vigezo vilivyowekwa, kiasi cha mizunguko ya bure kitakuwa 0 na mchezaji hatapata faida yoyote kutoka kwenye promo hii.
  • Pia mizunguko ya bure itadumu ndani ya siku 7 pekee tokea mchezaji apate taarifa
  • Kila mchezaji atapa bonasi ya 150% bonasi ya michezo au mpaka 150 mizunguko ya bure kwenye promo hii mara moja pekee

Hivyo changamkia fursa hii ya kipekee ambayo imekuja ndani ya wakali wa ubashiri. Ni rahisi kupata bonasi za michezo na bonasi ya michezo ya kasino kama Sloti. Unasubiri nini sasa?. Jiunge na Meridianbet sasa unufaike na bonasi za kibabe.

About The Author

error: Content is protected !!