June 14, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Shinda mamilioni na Endorphina ndani ya Meridianbet

 

Kama kawaida ni bandika bandua na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo wanataka kuhakikisha kuwa huondoki kapa kabisa. Wamekuja na promosheni nyingine Endorphina ambayo unaweza kupiga zaidi ya Milioni 20. Bahati ni yako ingia na ushindanie sasa.

Endorphina ni kampuni ambayo inayotengeneza michezo ya kasino ya mitandao hasa ikibobea kwenye Sloti huku ndani ya mwezi huu wamejipanga kukupatia mshindo wa maana. Je unajua unawezaje kuwa mmoja ya watu ambao wanashindania zaidi Milioni 20?

Ni rahisi sana kuwa Milionea endapo utaweza kushiriki kwenye michezo ambayo Endorphina inatoa ambayo ni pamoja na Burning Ways, Book of Lady, Machine 40, Joker Stroker, Power Balls, Panda Strike, Hell Hot 20 na mingine mingi.

Ukiingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet halafu ukaenda kwenye Kasino ukatafuta michezo yote inayopatikana kwenye Endorphina ni rahisi sana kuipata. Jisajili na ucheze sasa michezo hii ya sloti.

Mashindano haya ya Endorphina yameanza toka jana tarehe 12 na mwisho wake utakuwa ni tarehe 22 Juni ambapo wateja wote wa Meridianbet wanapaswa kuanza kushiriki kwenye mashindano haya wajiweke kwenye nafasi ya kushinda.

Meridianbet inasisitiza pia kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanya maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Dau la chini kabisa ambalo unatakiwa kuweka ni shilingi 900 chini ya hapo hiyo haitahesabiwa kwenye washindi, lakini pia kw akila ushindi wa shilingi 3000 kwenye michezo stahiki mchezaji atapata alama 10.

Kumbuka kuwa ikiwa wachezaji wawili au zaidi watakuwa na alama sawa mwisho wa mashindano, mchezaji ambayo amefikisha alama wa kwanza ndiye atakayehesabika kama mshindi.

Mashindano haya jumla ya zawadi ni shilingi Milioni 450 na zitatolewa kama ifuatavyo,

Mshindi wa 1 atapata TZS 21,000,000

Mshindi wa 2 atapata TZS 18,000,000

Mshindi wa 3 atapata TZS 15,000,000

Mshindi wa 4-10 watapata TZS 10,500,000

Mshindi wa 11-20 watapata TZS 7,500,000

Mshindi wa 21-30 watapata TZS 4,500,000

Mshindi wa 31-50 watapata TZS 2,400,000

Mshindi wa 51-70 watapata TZS 2,100,000

Mshindi wa 71-90 watapata TZS 1,800,000

Mshindi wa 91-120 watapata TZS 900,000

Mshindi wa 121-150 watapata TZS 600,000

Mshindi wa 151-200 watapata TZS 330,000

Mshindi wa 201- 250 watapata TZS 300,000

Hzio ndizo zawadi ambazo zitakuwa zikitolewa mpaka mashindano kukalimika, nafasi hii ni yako usiipoteza. Vilevile Mchezaji anaruhusiwa kutumia akaunti moja tu, endapo akaunti nyingine itagundulika atafutiwa ushiriki kwenye mashindano haya ya Endorphina.

Pia dau ambalo litahesabika wakati wa mashindano haya ni dau ambalo uliweka kama pesa na ukalitumia kuchezea kwenye michezo hii inayopatikana kwenye promo hii, lakini dau ambalo utaweka kupitia kwenye bonasi ambayo ulipewa hilo halitahesabika kabisa.

Kwa kila ushindi ambao unaupata ndipo unavyopanda kwenye ubao wa washindi. Changamkia fursa hii hapa ipo mikononi mwako sasa usisubiri kupitwa. Shiriki sasa hapa laini pia endelea kubashiri mechi zote ambazo zipo Meridianbet.

About The Author

error: Content is protected !!