June 13, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yatoa Bonus ya 20% kwa miamala ya M-Pesa Push

 

Meridianbet imeanzisha ofa ya kipekee ili kuwapa wateja wao faida zaidi kwa kila miamala ya kila siku inayofanyika kupitia M-Pesa Push. Wateja wanaoweka pesa kwa mara ya kwanza kila siku kupitia M-Pesa Push watapokea bonus ya 20% ya kiasi walichoweka, hadi kiwango cha juu cha shilingi 50,000 kwa siku. Ofa hii itakuwa na nguvu hadi Desemba 31, 2025.

Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Ili kustahiki bonus hii, mteja anapaswa kuweka pesa kupitia M-Pesa Push na kutumia kiasi hicho mara mbili kwa kubashiri michezo au kucheza kasino mtandaoni ndani ya siku hiyo hiyo. Kwa wabashiri wa michezo, tiketi zinazokubalika ni zile zinazomalizika siku hiyo na zenye odds za jumla za 3 au zaidi. Tiketi zilizotumia chaguo la cash out hazitahesabiwa katika mahitaji ya rollover. Kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, michezo ya sloti iliyochezwa siku hiyo ya kuweka pesa itahesabiwa.

Bonus hiyo inaruhusiwa kutumika kwenye tiketi za mechi nne pekee, ambapo kila mechi inahitaji odd ya 1.5 au zaidi. Malipo ya juu zaidi kwa tiketi inayotumia bonus yatakuwa shilingi 100,000.

Wateja watapata bonus kwa miamala yao ya kwanza ya siku moja tu, na ni sharti wawe wametumie bonus zote za awali kabla ya kupokea bonus mpya. Anza kutumia Meridianbet na M-Pesa Push leo ili upate thamani zaidi kutokana na pesa zako.

About The Author

error: Content is protected !!