
MWEZI huu wa Juni, Meridianbet inakuletea fursa ya kipekee ambayo hauitaki kukosa. Kwa kujiunga na mchezo wa Win&Go, unaweza kufurahia michezo ya haraka ya bahati nasibu na kupata 10% ya hasara zako kurudi kila siku.
Je, ungependa kucheza mchezo wa kusisimua ambao unakupa fursa ya kushinda kila baada ya dakika tano, na hata kama hukushinda, bado unaweza kupata 10% ya sehemu ya pesa yako. Hii ndio nafasi yako ya kutengeneza kipato na Meridianbet.
Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Win&Go ni mchezo wa bahati nasibu wa kuvutia unaotolewa na Expanse Studios. Unakuruhusu kuchagua jumla ya namba 6 hadi 10 kati ya jumla ya namba 48, na kisha kungojea matokeo yanayotolewa kila baada ya dakika tano.
Lakini kuna kitu cha kufurahisha Zaidi, “Gift Positions” nafasi maalum kwenye droo ambazo, ikiwa moja ya namba zako iko humo, utapata pesa yako uliyoicheza hata kama hukushinda. Na kama ikitokea namba zako mbili ziko kwenye hizo nafasi maalum, ushindi wako unakuwa mara nne. Pia, kuna “Golden Rounds”, ambazo zinakupa fursa ya kushinda mara dufu.
Kuanzia 01.06.2025 hadi 30.06.2025, ukicheza Win&Go kupitia Meridianbet na kupata hasara ya angalau TSh 1,000 kwa siku, utapata 10% ya pesa yako nyuma, hadi kufikia TSh 15,000 kwa siku. Hii inamaanisha unaweza kucheza kwa uhakika zaidi, kujifurahisha, na kupunguza hasara zako kwa urahisi.
ZINAZOFANANA
Exim yafanya kampeni ya uchangiaji damu nchi nzima
Cheza Sloti mpya ya Baba Yaga, ulimwengu wa uchawi waanza kufunguka
Cheza Sloti ya matunda 81 Vegas Magic ina njia 81 za ushindi!!