
Ili kuboresha uzoefu wa wachezaji wa kasino mtandaoni, Meridianbet, kwa kushirikiana na Expanse Studio, wamezindua ofa maalum kupitia mchezo wa kasino mtandaoni wa Zombie Apocalypse.
Kupitia ofa hii, wachezaji wanaotumia mizunguko 100 katika mchezo huu wanapata mizunguko 50 ya bure kwa siku inayofuata yaani kesho. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuongeza muda wa kucheza na kuongeza nafasi ya kushinda, bila kuongeza gharama yoyote ya ziada.
Zombie Apocalypse ni mchezo wa kasino wenye mandhari ya kipekee inayochukua msukumo kutoka kwenye simulizi za maisha baada ya janga la zombie kuikumba Dunia. Mchezo huu umetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, ukiwa na mistari 20 ya malipo, alama za kuongeza ushindi, pamoja na alama za bonasi zinazowezesha kupata mizunguko ya bure.
Picha za kuvutia, sauti za kiwango cha juu, na mpangilio wa mchezo huu vinaunda mazingira ya kusisimua na ya kuvutia kwa mchezaji. Hii inaufanya mchezo huu kuwa chaguo bora kwa wale wanaotafuta burudani yenye mvuto wa kipekee na nafasi za ushindi.
Wachezaji wapya na wa muda mrefu wanakaribishwa kuchangamkia ofa hii kwa kujisajili Meridianbet na kuanza kucheza Zombie Apocalypse leo. Ofa hii ni sehemu ya dhamira ya Meridianbet ya kuendelea kutoa burudani bora na fursa halisi kwa wachezaji wake.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
ZINAZOFANANA
Kasino ya Mighty Empire ushindi x2500 ya dau lako, Cheza SASA Ushinde.
Chukua Samsung A25 yako na USSD leo
Jisajili, weka pesa, cheza na ushinde Samsung A25 na Meridianbet