
LEO hii wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanaendelea kukukumbusha kuwa bado simu aina ya Samsung A25 zinaendelea kutolewa ambapo kwa kujisajili kuweka pesa na kucheza michezo ya kasino au sport unaweza ukajinyakulia simu yako.
Ofa hii ya kujishindia simu hii aina ya Samsung A25 ni ya mwezi mmoja ambayo ilianza tarehe 01 Juni na mwisho wake ni tarehe 30 Juni ambapo kupitia michezo ya Kasino na mechi za mpira wa miguu zinazoendelea Duniani, kuna ligi ya Algeria, Tanzania, Egypt na zingine kibao.
Zimebaki siku 26 pekee za wewe kuchukua simu yako janja bure kabisa kwani kwa dau lako lolote ambalo utakuwa unaweka na kucheza ndilo litakalokufanya uibuke bingwa kwa sasa.
Unachotakiwa kufanya ni kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet mara moja na kuanza kucheza michezo yako yoyote ya Kasino kwani hakuna kikomo cha michezo ya kucheza, na kwenye kubashiri pia ni mechi za mpira wa miguu na zingine nyingi ambazo utataka kubashiri, kikapu, tennis nk.
Meridinabet imekuletea promosheni nyingine ya kujisajili, kuweka pesa na kucheza kasino au Sport ili ushinde Samsung A25. Vilevile unaweza kupiga pesa kweye michezo mingine ya Kasino kama vile, Zombie Apocalypse, Keno, Poker, Roullette,, na mingine kibao. Ingia kwenye akaunti yako na ucheze sasa.
Je unajua ni jinsi gani utaweza kujiweka kwenye nafasi ya ushindi?. Jambo ni moja tuu, cheza mara nyingi Kasino na Sport ujiweke kwenye nafasi ya kuwa mshindi hapa. Kwenye Kasino michezo mizuri ipo mingi sana kuna Aviator, Superheli, Zombie Apocalypse, Roulette, Keno na mingine mingi.
Vilevile Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi za turbo Cash hazitahesabiwa kwenye promosheni hii, yaani kama umesuka jamvi lako halafu ukacash out pesa hiyo tiketi yako haiwezi kuhesabiwa kwenye tiketi za washindi hivyo inabidi usubiri mpaka mechi ulizobeti zote ziishe.
Samsung A25 zipo nyingi na zipo kwaajili yako, usipitwe na ofa hii ndani ya mwezi Juni kwani Meridianbet ipo kwaajili ya kuhakikisha huondoki Kapa. Jisajili na weka dau lako uanze kushindania simu sasa. Huenda leo ikawa ndio bahati yako.
ZINAZOFANANA
Kasino ya Mighty Empire ushindi x2500 ya dau lako, Cheza SASA Ushinde.
Chukua Samsung A25 yako na USSD leo
Meridianbet wamekuja na ofa maalum kwa wacheza Zombie Apocalypse