April 28, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yafika Mtoni na kugawa vifaa vya michezo

Meridianbet imetoa msaada wa jezi na mipira kwa timu mbili za mpira wa miguu za wanawake, Mtoni Queens na Sabasaba Queens, ikiwa ni sehemu ya shughuli zake za Uwajibikaji kwa Jamii zinazolenga kuendeleza michezo ya wanawake nchini.

Katika hafla iliyofanyika hivi karibuni, Meridianbet ilikabidhi jezi kamili kwa timu hizo, ikiwa ni sehemu ya juhudi zao za kuunga mkono maendeleo ya michezo ngazi ya jamii na kuhamasisha ushiriki wa vijana katika shughuli za michezo. Vifaa hivyo vilijumuisha seti za jezi kwa wachezaji wote wa timu kwa ajili ya mazoezi na mechi.

Michezo siku hizi imekuwa ni ajira si kwa wanaume peke yake bali hata kwa wanaume katika miaka ya hivi karibuni, ambapo wasichana nao wameamua kujikita kwenye michezo hasa mpira wa miguu.

Ukiachana na Meridianbet kutoa jezi hizo, pia unaweza ukabashiri hapa hapa na kuibuka bingwa sasa. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Basi katika kuunga mkono suala hili la michezo wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet walitoa jezi kwa timu hizo mbili ambazo zitawasaidia kwenye mazoezi na wakati wa mechi mbalimbali za mashindano ambayo hushindana.

Akizungumza katika hafla hiyo, mwakilishi wa Meridianbet alisema, “Sisi Meridianbet tunaamini kuwa michezo ni jukwaa muhimu sana kwa maendeleo ya vijana na jamii kwa ujumla. Kupitia michezo, vijana wanaweza kujifunza nidhamu, kujituma na kufanya kazi kwa pamoja. Tunajivunia kuwa sehemu ya safari ya mafanikio ya Mtoni Queens na Mtoni Sabasaba.”

Baada ya kupokea jezi hizo viongozi wa timu za Mtoni Queens pamoja na Sabasaba Queens walitoa shukrani zao za dhati kwa Meridianbet kwa msaada wa jezi hizo kwnai hiyo inawapa wao motisha na nguvu ya kupambana zaidi kwenye mashindano yao.

Meridianbet inaendelea kuwa mdau mkubwa wa michezo nchini Tanzania, si tu katika ngazi ya kitaifa bali pia kwenye maendeleo ya michezo katika ngazi ya jamii. Kampuni hii imejikita katika kusaidia vijana kufikia ndoto zao kupitia msaada wa vifaa, udhamini wa mashindano, na programu za maendeleo ya michezo.

Kwa msaada kama huu, Meridianbet inathibitisha kwa vitendo kuwa inayo nia ya dhati ya kuwekeza katika mustakabali wa michezo nchini, na kuwapa vijana fursa ya kuonesha vipaji vyao Duniani.

Vilevile Meridianbet inakukumbusha kuwa leo hii mechi kibao Duniani zinaendelea hivyo usisahau kutengeneza jamvi lako la ushindi hapa. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana leo. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!