
BENKI ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea).
Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI), Suleiman Ally, ukishuhudiwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Mudrick Soraga.
ZINAZOFANANA
Aviator kukupatia PS5 leo
Samia azindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli
TPA yataja miradi 10 ya kimkakati