February 23, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Maximum Payout kuendelea kutisha Jumapili hii

 

Mabingwa wa michezo ya kubashiri wanaendelea kuonesha umwamba wao kwani wamefanikiwa kuhakikisha kupitia tiketi moja unaweza kushinda mpaka kiasi cha shilingi milioni 300 kupitia Max payout.

Leo Max payout inaweza kukunufaisha kwani kutakua na michezo mikali katika ligi mbalimbali barani ulaya kuanzia pale ligi pendwa nchini Uingereza, Italia, Hispania, Ujerumani, pamoja na ligi kuu ya Ufaransa.

Wateja wanahimizwa na wale ambao bado hawajajiunga na kampuni hiyo kuchukua hatua mapema na kununua tiketi ili kuongeza nafasi zao za kushinda. Kumbuka kuwa hii ni nafasi pekee ya wewe mteja kubadilisha maisha yako kwa kuweza kushinda kiasi kikubwa cha pesa katika mchezo wa kubashiri.

NB: Lakini kumbuka kuwa kwenye hiyo tiketi yako hujumuishi mechi za Ligi ya Tanzania. Lakini mechi za ligi nyingine unaweza ukazijumuisha pale ambapo unabashiri.

EPL

Ligi kuu kuu ya Uingereza leo itashuhudia mchezo mkali kati ya Manchester City ambao watakua nyumbani kuwakaribisha Liverpool vinara wa ligi hiyo, Mchezo huu una Odds bomba pale Meridianbet hivo nafasi ya kushinda ni ya kwako. Bashiri sasa.

LA LIGA

Ligi kuu nchini Hispania pia itapigwa michezo kadhaa mabayo inaweza kutoa fursa ya kupiga mkwanja Real Madrid watakua nyumbani leo kumenyana na Girona mchezo ambao unaweza kufanya ukanyakua kitita kizito kwakua umepewa Odds bomba sana pale Meridianbet Jisajili hapa.

Athletic Club nao leo watashuka dimbani kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Real Valladolid timu zote zimepewa Odds za kutosha, Hivo unaweza kunyakua kitita kizito na Max payout leo.

Ligi kubwa barani ulaya kukupa mkwanja leo. Suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

SERIE A

Como kuwachapa Fiorentina wikiendi iliyomalizika leo wanawakaribisha vinara wa Serie A klabu ya Napoli mchezo mkali ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa. Weka jamvi lako leo uweze kushinda mpaka milioni 300 kupitia Max payout.

Atalanta baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ulaya leo watakua ugenini kumenyana na Hellas Verona, Mchezo huu nao haujaachwa nyuma kwani una Odds nono pale Meridianbet ni wewe tu kuweka jamvi lako upige mshindo. Bashiri sasa ushinde

BUNDESLIGA

Klabu ya Fc Bayern Munich leo watakua nyumbani kuwakaribisha Eintracht Frankfurt kwenye mchezo wa ligi kuu ya Ujerumani, Ambapo mchezo huu unaweza kuuweka kwenye tiketi na ukaweza kupiga mpaka kiasi cha shilingi milioni 300 kupitia Max payout. Weka jamvi lako sasa uweze kuibuka mshindi

About The Author

error: Content is protected !!