![](https://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2025/01/PR-Design-23JAN-1200X1200-1024x1024.png)
Je unajua kuwa leo hii unaweza ukapiga zaidi ya shilingi milioni 300 kwa kubashiri mechi za EUROPA League kule Ulaya ambapo ni mechi kali sana ambazo zitakupatia mzigo wa maana Meridianbet.
Kampuni ya ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuletea fursa kubwa kwa wateja wake ambao hupenda kubashiri mechi mbalimbali ambapo kwasasa kiasi cha malipo cha juu zaidi kwa tiketi moja kimefika milioni 300 za Kitanzania.
Hii ni fursa ya kipekee kwa wale wote ambao wanapenda kutimiza ndoto zao kwa kubashiri, ambapo sasa wanaweza kushinda kiasi kikubwa cha pesa katika droo moja hivyo ndugu mteja changamkia fursa.
Kwa mfano leo hii kuna mechi za Europa League ambapo hapa una nafasi ya kushinda hiyo milioni 300 kwa kuchagua timu zako za ushindi leo hii. FC Porto, Fenerbahce, Real Sociedad na wengine kibao wapo dimbani kuhakikisha kutoki patupu.
Meridianbet inawahimiza wateja wao na wale ambao bado hawajajiunga na kampuni hiyo kuchukua hatua mapema na kununua tiketi ili kuongeza nafasi zao za kushinda. Kumbuka kuwa hii ni nafasi pekee ya wewe mteja kubadilisha maisha yako kwa kuweza kushinda kiasi kikubwa cha pesa katika mchezo wa kubashiri.
NB: Lakini kumbuka kuwa kwenye hiyo tiketi yako hujumuishi mechi za Ligi ya Tanzania. Lakini mechi za ligi nyingine unaweza ukazijumuisha pale ambapo unabashiri.
Mfano leo hii,, mapema kabisa Fenerbahce Instanbul watakuwa wenyeji wa RSC Anderletch ambapo nafasi ya kushinda hii leo akipewa Mturuki pale Meridianbet kwa ODDS 1.61 kwa 5.40. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2018 ambapo mwenyeji aliondoka na ushindi. Na sasa ni kwenye mechi za mtoano. Je mgeni atalipa kisasi leo?. Jisajili hapa.
Naye Real Sociedad ya kule Hispania watakuwa ugenini leo kukichafua dhidi ya FC Midtjyland ya kule Denmark. Kila timu hii leo inahitaji pointi 3 za ushindi ili ijiweke vizuri kabla ya kukutana kwenye mechi za pili za mtoano. Mechi hii imepewa ODDS 3.95 kwa 2.05. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.
EUROPA LEAGUE kukupatia mkwanja leo. Suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Huku kwa upande wa Union Saint-Gilloise watakipiga dhidi ya Ajax ya kule Uholanzi ambao wapo nafasi ya 1 kwenye ligi yao huku kwa mwenyeji yeye yupo nafasi ya 3 kwenye ligi kule Ubelgiji. Nani kuondoka kifua mbele leo hii kwenye mchezo wa kwanza wa mtoano?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.35 kwa 3.10. Tandika jamvi hapa.
Vilevile AZ Alkmaar atamenyana dhidi ya Galatasaray Instanbul ambapo kila timu hii leo inataka pointi 3 za ushindi huku nafasi ya upendelea ya kushinda mechi hii ya leo akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.50 kwa 2.70. Mtanange wa mwisho kukutana walitoa sare ya kufungana. Je leo hii nani kuondoka kidedea plae Uholanzi?. Suka jamvi hapa.
Mtanange mzito utakuwa kati ya FC Porto vs AS Roma kutoka kule Italia ambao wanashika nafasi ya 9 huku mwenyeji yeye akishika nafasi ya 3 kwenye ligi yao. Mwenyeji anakipiga kule Ureno huku leo hii akitaka kuwafurahisha mashabiki zake akiwa nyumbani. Tengeneza jamvia mechi hii yenye ODDS 2.55 kwa 2.90.
Huku Paok yeye atakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya FCSB, ambapo mwenyeji mechi ya kwanza walipoonana alipigika. Leo hii anataka ushindi ili alipe kisasi akiwa nyumbani. 1.78 kwa 4.70 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
FC Twente wataumana dhidi ya Bodoe/Glimt huku nafasi ya kupiga mkwanja mrefu ukiwa nayo ndani ya Meridianbet. Meridianbet kwenye mechi hii wameweka ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 hivyo ni rahisi sana wewe kuchukua mpunga wa maana leo. 2.06 kwa 3.50 ndio odds zao. Bashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Shida kitita na Meridianbet kupitia Ligi ya Mabingwa Ulaya leo
Jumanne ya kupiga pesa na UEFA hii hapa
Jumapili ya leo ina pesa kibao