Kaa tayari kunyakua kitita cha shilingi milioni moja kwa wewe mdau wa michezo ya kasino ya Expanse pale Meridianbet, Kwani zimebaki siku mbili tu mshindi wa shindano la Expanse apatikane shindano litakufanya uimalize Januari yako kibabe kabisa.
Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa limeanza toka tarehe 10 mwezi huu wa kwanza na kumalizika kwa tarehe.
Shindano hili litahusisha wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hichio kabambe msimu huu wa sikukuu na kukufanya kufunga na kuanza mwaka kibabe kabisa.
Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, , Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters.
Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni moja taslimu pekee kwakua hili ni shindano kubwa na linaendeshwa na mabingwa basi washindi watakua wengi na watachukua kitita kama ifuatavyo
Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000
Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000
Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja
Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000
Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.
Changamkia fursa kwa kucheza shindano hili la michuano ya Expanse kipindi hiki cha Januari ambapo mambo huonekana kua magumu, Lakini kupitia shindano hili la Expanse unaweza kurahisisha maisha kwa kujishindia mkwanja wa kutosha.
Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.
NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa. Jisajiri hapa.
ZINAZOFANANA
Shindano la Expanse Kasino ndio habari ya mjini kwa sasa
Kuwa mjanja, ukicheza sloti ya Lucky Betting Shop mamilioni yanakusubiri!
TRA, Wafanyabiashara Kariakoo kufanya Bonanza la pamoja J’pili