January 10, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Cheza sloti ya Gold of Coins ushinde kitita leo

 

Meridianbet wakishirikiana na Expanse Studios ambao ni mabingwa wa kutengeneza michezo ya kasino za mitandaoni wamekujia na promosheni ya mchezo wa kasino wa Gol of Coins ambao utakupa mkwanja mnono.

Meridianbet wanatoa nafasi nyingine kwa wachezaji wa sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni, unaambiwa hivi ukicheza mizunguko 100 kwenye mchezo wa God of Coins unapewa zawadi ya mizunguko 50 ya bure haijalishi ulicheza ukashinda au kupoteza kikubwa uwe umekamilisha mizunguko 100 ya kucheza kasino ya mtandaoni.

Promosheni hii imeanza Juni 27 na itadumu mpaka Julai 15, 2023 na ni kwa wateja wote waliojisajili na Meridianbet, endapo hujajisajili bonyeza hapa kujisajili kisha utapewa zawadi ya mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni.

Fahamu kuhusu God of Coins

Sloti ya God of Coins inawalenga wapenzi kindakindaki wa historia ya kale, kasino ya mtandaoni hii inawasafirisha wachezaji wake hadi ulimwengu wa Misri ya kale kupitia picha zake za kuvutia na nyimbo zinazoendana na zama za enzi hizo.

Ikiwa na mpangilio maalum wa mistari ya 4×5, God of Coins Sloti ina ishara za alama 8 ikiwa ni pamoja na alama ya WILD. Katika mistari 20 ya malipo una uwezo wa kushinda mpaka mara 1000 ya dau lako katika kila mzunguko, mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unawafanya wachezaji kufurahia na kucheza kwa muda mrefu bila kuchoka. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet sasa!

About The Author

error: Content is protected !!