Meridianbet leo hii inaangazia sababu za Liverpool kutoka pale Uingereza kwanini inapewa nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa wa EPL lakini pia na mataji mengine kutokana na kiwango ambacho wanacho.
Klabu ya Liverpool FC imekuwa ikifanya vizuri chini ya uongozi wa kocha mkuu mpya Arne Slot, ambaye alichukua majukumu ya kuongoza klabu hiyo maarufu ya Uingereza. Arne Slot, ambaye alijulikana kwa mafanikio yake huko Feyenoord, alichukua mikoba ya Liverpool kwa msimu wa 2024/2025, akiwa na malengo ya kurejesha klabu hiyo kwenye nafasi ya juu katika ligi kuu ya Uingereza na mashindano mengine.
Jogoo wa Anfield chini ya kocha huyo mpya imeonesha mabadiliko makubwa chini ya Arne Slot ikijivunia kuwa kileleni kwenye msimamo wa EPL mwishoni mwa nusu ya kwanza ya msimu. Slot amekuwa na mikakati bora ya ulinzi na ushambuliaji akifanya matumizi bora ya wachezaji wake kama vile Mohamed Salah, Van Dijk, Luis Diaz, Cody Gakpo na wengine kibao.
Endelea kubashiri na Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kuwa bingwa huku odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yakipatikana hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Pia Liverpool imetamba kwenye Ligi ya Mabingwa ya UEFA, ikiwa ni mojawapo ya timu zinazotabiriwa kufika mbali zaidi msimu huu huku Slot akiwa ameweza kuunda mfumo kisasa wa mchezo unaowapa wachezaji wake nafasi ya kuonesha ubora wao katika michuano mikubwa ya kimataifa.
Kwenye Kombe la Carabao Cup klabu hiyo imefanikiwa kufika hatua ya Nusu Fainali ambapo itamenyana dhidi ya Tottenham Spurs ambao wametoka kuwabamiza vibaya sana kwenye ligi.
Chini ya uongozi wa Slot, wachezaji kama Cody Gakpo, Darwin Núñez, na Alisson Becker wameonekana kuwa bora zaidi katika majukumu yao, na timu nzima imeimarika kwa ujumla. Slot amekuja na mbinu za kuonyesha kipaji cha wachezaji na kuwaongoza kufikia malengo makubwa.
Maono ya Arne Slot kwa Liverpool
Arne Slot ameweka wazi kuwa lengo lake ni kuendeleza mafanikio ya Liverpool kwa kuboresha uchezaji na kuleta mabadiliko ya kimkakati. Alisisitiza kuwa timu yake itajitahidi kuwa na mwelekeo wa kushinda kombe la EPL na Ligi ya Mabingwa ya UEFA, huku akizingatia pia maendeleo ya wachezaji vijana na kuboresha uwezo wao kwa ajili ya mustakabali wa klabu.
Ikumbukwe mpaka sasa kwenye EPL Liver wameshinda mechi zao 12, wakitoa sare 2 na kupoteza mara 1 pekee huku wakiwa na pointi zao 39 kileleni na mechi moja mkononi. Huku kwa upande wa UEFA wakiwa pale kileleni baada ya kushinda mechi zao zote 6 na kufikisha pointi 18.
Je vijana hawa wa Arne Slot wataendeleza moto huu kwenye mashindano yote?. Na je wanaweza kubeba ubingwa EPL? Jisajili na Meridianbet na ubashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet