December 27, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yatoa msaada Tandale

Meridianbet wameendelea kuhakikisha jamii yao inanufaika na kile wanachokivuna kwenye shughuli zao za kila siku, Ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada katika familia kadhaa Tandale

Kurudisha kwa jamii iliyowazunguka na yenye uhitaji imekua ni moja ya vipaumbele vikubwa sana kwa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri, Kwani wamekua wakifanya hivo kwa miaka mingi sasa.

Meridianbet leo wamefanikiwa kutoa msaada kwa familia kadhaa zisizokua na uwezo katika eneo la Ali Maua jijini Dar-es-salaam, Ambapo wamefanikiwa kutoaa msaada wa vyakula kama Mafuta, Mchele, sukari, pamoja na Unga.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata wasaa wa kuzungumza machache kwenye hafla hiyo “Meridianbet siku zote inasimama pamoja na familia kama hizi, kwa kutambua umuhimu wa kushirikiana na jamii katika kutatua changamoto za msingi,”

Halikadhalika wakazi wa Aki Maua Tandale nao walifurahishwa kwa namna yake kutokana na msaada ambao Meridianbet wameutoa kwao, Kwani msaada huo wa vyakula utaweza kuwavusha katika wakati huu haswa kipindi hiki cha sikukuu ambapo vitu hupanda bei.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author

error: Content is protected !!