December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yatoa msaada wa jezi Kimara

Kampuni ya Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri leo wamefanikiwa kufika eneo la Kimara Mwisho jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada wa jezi.

Meridianbet wamefanikiwa kutoa jezi kwa kikundi cha Jogging kinachofahamika kama “KIMARA JOGGING STAR CLUB” ambapo kikundi hichi hua kinafanya mazoezi ya kukimbia kwajili ya kuweka mwili sawa na kuimarisha afya zao na leo wameweza kupatiwa jezi ili kuendelea kufanya mazoezi.

Huu umekua ni utaratibu wa miaka mingi kwa kampuni hiyo mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamekua wakihakikisha wanarudisha kwa jamii yake ambayo imekua inawazunguka, Huku leo ni Kimara Mwisho ndio wamekua wanufaika wa kile kilichotolewa na Meridianbet.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata wasaa wa kuzungumza machache kwenye hafla hiyo “Meridianbet tunaambua na tunajua umuhimu wa kufanya mazoezi maana mazoezi ni afya, na kufanya mazoezi kunakukinga dhidi ya magonjwa mbali mbali, na pia kama mdau mkubwa wa michezo tumeona ni muhimu klabu hii kupata vifaa hivi vya mazoezi ilikuweza kuimarisha afya zao

Halikadhalika wakazi wa Kimara Mwisho nao wamefurahishwa kwa kiwango kikubwa kutokana na msaada ambao Meridianbet wameutoa kwao, Kwani wameeleza utaendelea kufanya waendeleaa kufanya mazoezi na kuvutia hata watu wengine pia kujiunga nao kujenga afya zao.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author

error: Content is protected !!