December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Piga mkwanja Jumapili ya leo kupitia Ligi mbalimbali barani Ulaya

 

Ligi mbalimbali zinaendelea leo barani ulaya na inaweza kua fursa kwako kuweza kujishindia kitita cha kutosha na Meridianbet kutokana na michezo mikali ambayo itakwenda kupigwa leo.

Kuanzia pale kwenye ligi pendwa kabisa duniani ligi ya Uingereza itapigwa michezo mikali, Ligi kuu ya Hispania La Liga, nchini Italia Serie A, ligi kuu ya Ujerumani Bundeliga, pamoja na ligi kuu ya Ufaransa Ligue 1 ligi zote hizi zinaweza kufanya ukanyakua mkwanja mrefu.

EPL

Kunako ligi kuu ya Uingereza leo kutakua michezo kadhaa mikali lakini mchezo ambao utatolewa macho zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal, Mchezo ambao umepewa Odds bomba sana pale Meridianbet hivo unaweza kunyakua kitita. Michezo mingine itakua kati ya Man United Vs Leicester City, Nottingham Forest Vs Newcastle United, Tottenham Hotspurs Vs Ipswich town.

LA LIGA

Ligi kuu ya Hispania La Liga leo nayo inakuweka kwenye mazingira mazuri ya kupiga maokoto kwani itapigwa michezo kadhaa ambayo inaweza kukupa kitita, Kwani Barcelona anakipiga ugenini leo dhidi ya Real Sociedad, Girona anakipiga na Getafe, Atletico Madrid yupo ugenini dhidi ya Mallorca, Real Betis nao watakipiga dhidi ya Celta Vigo.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

SERIE A

 Kunako ligi kuu ya Italia Serie A leo kutakua na kivumbi pale ambapo kinara wa ligi hiyo klabu ya Napoli atakua ugenini kumenyana na klabu ya Inter Milan ambao wanakamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo mchezo huu umepewa Odds bomba sana pale Meridianbet weka ubashiri wako ushinde maokoto.

BUNDELSIGA

Ligi kuu ya Ujerumani nayo leo itashuhudia viwanja mbalimbali vikiwaka moto ambapo itakupa fursa wewe mteja kupiga mamilioni ambapo Vfb Stuttgart atakipiga dhidi ya Eintracht Frankfurt, Augsburg Vs Hoffenheim, na Fc Heidenheim Vs Wolfsbug.

About The Author

error: Content is protected !!