
Serengeti Oktoberfest imerudi tena kwa kishindo! Mwaka jana, Supastaa Diamond Platnumz aka Chibu Dangote aliwaimbisha zaidi ya wauhudhuriaji 10,000 Kenya na kunogesha experience nzima ya burudani, bia na mizuka.
Mwaka huu, inasemekana anarudi tena kukinukisha kwenye steji hii kubwa Afrika Mashariki. Je, tutegemee kumuona tena akiangusha steji ndani ya Kenya, Uganda au nyumbani kwao Tanzania?
Mambo yanazidi kuwa mambo kwenye steji hii ya kipekee ya burudani. Endelea kutufuatilia kufahamu mwaka huu nini kitatokea #SerengetiOktobaFest2024 #DiamondPlatnumz #ThisIsHowWeDo
ZINAZOFANANA
Geuza Spin kuwa mamilioni, ni LOOT Legends kutoka Meridianbet
Super Heli kukupa Samsung A25 kutoka Meridianbet
Utajiri kuangukia mlangoni kwako leo na Playson Short Races