
KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imewafikia abiria wa treni ya Dar es Salaam maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja.
Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never Daimon, na Mkuu wa Idara ya Mauzo wa Vodacom Business, Rahma Dachi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano na TRC ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo Vodacom imewasogezea huduma zake abiria wa treni hiyo maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ inayofanya safari zake hapa jijini Dar es Salaam.
ZINAZOFANANA
Casino Stud Poker karata zinakupa ushindi kirahisi
Wildfire Wins kasino inakufanya tajiri. Cheza sasa.
Dk. Mpango: Tuweke mikakati ya kukuza mapato ya ndani