Kama ulifikiri hela ni ngumu kwa kiasi hicho unajidanganya sikia sasa Pale Meridianbet kuna mchezo wa Kasino unaitwa Beach Penalties, Mchezo huu unakupa mkwanja wa kutosha kwa kupiga penalty tu.
Kwa kila pigo moja lina odds zake za ushindi ambazo zitajumlishwa na dau lako uliloweka kuchezea, kama ulikuwa unawaza ni mchezo gani wa kucheza, nikushauri tu ujaribu mchezo huu mpya wa kasino ya mtandaoni.
Beach Penalties ni mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaoweza kucheza kwa dau dogo Zaidi, la kuanzia Tsh 100, huku kila penati utakayopata inahesabaiwa na odds kubwa za ushindi.
Jisajili na Meridianbet kufurahia mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, wakati ambao unaweza kuwa tajiri mkubwa kwa kupiga penati 5 tu. Mchezo huu pia dau la mwisho kucheza ni Tsh 100,000/=
Jinsi ya Kucheza Mchezo Huu.
Njia rahisi ya kucheza na kushinda kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, ni kama ifuatavyo
Hatua ya kwanza: utafungua mchezo kupitia tovuti ya Meridianbet kasino, kisha utaandika Beach Penalties.
Hatua ya Pili: Utachagua kipa/ mlinda mlango ambapo wanakuwa wanne.
Hatua ya Tatu: Unachagua Level unayotaka kucheza, tambua mchezo huu wa kasino ya mtandaoni una level 3, ambayo ni Expert Scorer, Regular Scorer na Goal Keeper Scorer.
Hatua ya nne: Utaweka dau lako unalotaka kucheza, mchezo huu unaruhusu kuanzia dau la Tsh 100 hadi 100, 000/=
Baada ya kufanya yote hayo, kabla hujapiga mkwaju wa Penati, unatakiwa kuchagua upande ambao uelekeo ya mpira unataka kwenda, kisha utabonyeza kitufe cha mpira, hapo tayari unakuwa umeanza safari ya ushindi.
NB: Jisajili na Meridianbet, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
ZINAZOFANANA
Shindano la Mabingwa Expanse kukupa mamilioni Sikukuu hii
Cat Purry Kasino mtandaoni makulipo makubwa
Michuano ya Expanse kukupa mkwanja msimu huu wa Sikukuu