LEO hii mechi kibao kutoka kwenye mataifa mbalimbali zinaendelea ambapo tayari wakali wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wameshakuwekea machaguo uyapendayo ingia na ubashiri sasa.
Tukianza na ligi kuu ya Uingereza, EPL kutakuwa na mechi mbili kali huku mechi ya kwanza itakuwa ni London Derby yaani Tottenham Hot Spurs dhidi ya Arsenal majira ya saa 10:00 jioni. Ni vita kati ya Ange na Arteta huku timu zote mbili zikihitaji ushindi wa pointi 3.
Mara ya mwisho kukutana, The Gunners waliondoka na ushindi, huku leo hii ndani ya Meridianbet nafasi kubwa ya kushinda akipewa Arteta akiwa na ODDS 2.45 kwa 2.74. Je jamvi lako unaweka wapi leo?. Beti mechi hii.
Mechi nyingine pale Uingereza itakuwa ni kati ya Wolves dhidi ya Newcastle United ambao wametoka kupata ushindi mechi iliyopita. Msimu uliopita Mbwa Mwitu walishinda kufurukuta baada ya kuambulia pointi moja pekee. Je leo hii watafanya nini wakiwa nyumbani dhidi ya vijana wa Eddie Howe?. Mechi hii imepewa ODDS 3.38 kwa 2.11. Jisajili sasa.
Leo ni siku ya kuvuna na Meridianbet mechi kibao za maokoto zipo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile leo hii ligi kuu ya Hispania LALIGA itaendelea mapema kabisa Celta Vigo atakiwasha dhidi ya Real Valladolid ambaye ametoka kupoteza mchezo uliopita. Wakati kwa upande wa mwenyeji yeye alipoteza mchezo. Nafasi ya kuondoka kidedea amepewa Vigo akiwa na ODDS 1.67 kwa 5.09. Bashiri hapa.
Naye Barcelona baada ya kutoa dozi nzito mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini dhidi ya Girona ambaye alikuwa na msimu mzuri uliopita. Hans Flick na vijana wake ndio wanaoshikilia msimamo pale juu wakiwa wameshinda mechi zao zote. Mara ya mwisho kukutana, Barca alipoteza. Je leo hii kwa ODDS ya 1.81 kwa 3.92 anaweza kushinda. Bashiri sasa.
Huku Diego Simeone na vijana wake Atletico Madrid baada ya kushinda kwa shida mchezo uliopita, leo hii watakuwa nyumbani pale Wanda Metropolitana kumenyana dhidi ya Valencia ambao ni wa mwisho kwenye ligi hadi sasa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili sasa.
SERIE A kama kawaida kuna mitanange ya kukata na shoka leo Atalanta atakuwa mwenyeji wa ACF Fiorentina huku timu hizi zikiwa zimelingana pointi yaani wote wana pointi 3 kwenye mechi tatu walizocheza. Je nani kupata ushindi leo leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.79 kwa 4.31.
Saa 1:00 usiku Cagliari atamualikwa SSC Napoli ambayo inanolewa na Conte ambaye alichukua kibarua msimu huu. Mwenyeji hajashinda hata mechi moja huku Naples wao wakishinda miwili. Mechi ya mwisho kukutana, walitoa sare. 4.31 kwa 1.78 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.
Naye Bingwa mtetezi, Inter Milan atakuwa ugenini leo dhidi ya AC Monza huku kwa mabingwa wa ubashiri Meridianbet wanampendelea Simone Inzaghi na vijana wake kushinda leo kwa ODDS 1.39 kwa 7.64. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Bashiri sasa.
Ndugu mteja unaweza kupiga pesa pia mechi za LIGUE 1 kule Ufaransa ambapo Rennes ataumana dhidi ya Montpellier ambaye ametoka kupoteza mechi yake iliyopita. Huku kwa mwenyeji yeye akipoteza yaani timu zote zimepoteza michezo iliyopita. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili sasa.
Wakati Nantes yeye atacheza dhidi ya Reims ambapo mechi hii imepewa ODDS za kibabe, ni 2.35 kwa 3.04. Timu zote zimetoka kupata ushindi mechi zao zilizopita wakati mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Loe nani kuondoka kifua mbele?. Beti hapa.
Vilevile BUNDESLIGA nako leo kuna mechi mbili za kibabe ambapo FC Augsburg atamualika kwake FC.ST Pauli ambao wamepanda ligi msimu huu. Mwenyeji kwenye mechi mbili alizocheza ametoa sare moja na kupoteza moja, wakati mgeni wake yeye amepoteza zote. 2.11 kwa 3.38. Beti mechi hii.
Mechi nyingine ni hii ya FC Mainz dhidi ya Werder Bremen huku timu zote mbili zikiwa zina pointi 2 kwenye mechi mbili walizocheza. Mara ya mwisho kukutana timu hizi, ilikuwa ni 2010 ambapo Mainz alipoteza. Je leo hii atalipa kisasi nyumbani?. Suka jamvi lako mechi.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet