December 27, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Real Madrid, Chelsea, Ajax uwanjani leo kukupa mkwanja

 

Alhamisi ya leo inaweza kua siku kubwa kwako kwa kushinda mamilioni kupitia michezo mikali ambayo itakwenda kuchezwa katika viwanja tofauti tofauti, Huku miamba ya soka ikiwa inashuka dimbani katika michezo hiyo.

Pale kwenye ligi kuu nchini Hispania itapigwa michezo kadhaa leo ya kibabe kabisa, Huku kwenye michuano ya kufuzu Uefa Europa league na Conference League napo itapigwa michezo kadhaa ya kukata na shoka.

Klabu ya Real Madrid baada ya kupata ushindi wa mabao matatu kwa bila wikiendi iliyomalizika leo watakua ugenini wakimenyana na klabu ya Las Palmas, Huku klabu ya Girona wao watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Osasuna.

Michezo ya kufuzu hatua ya makundi ya Europa League itapigwa ambapo klabu ya Ajax leo watakua dimbani kumenyana na Jagiellonia Bialystok, Huku klabu ya Rapid Wien wakiikaribisha timu ya Sc Braga kutoka nchini Ureno, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya Besiktas dhidi ya klabu ya Lugano.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Michezo ya kufuzu michuano ya Uefa Conference League hatua ya makundi nayo itakuepo leo ambapo klabu ya Trabznspor watakua nyumbani kukipiga dhidi ya St. Gallen, Huku Kilmarnock watakua wakikipiga dhidi Fc Copenhagen, Chelsea wakiwa ugenini kukipiga dhidi ya Servette.

About The Author

error: Content is protected !!