Huu ni moja kati ya michezo migni ya Meridianbet rahisi kucheza na kushinda, kwa kubonyeza kitufe cha Spin tayari mchezo utafunguka na utaweka dau utakalo ili kuwa mtaji wako wa utajiri. Jisajili sasa na cheza Zombie Apocalypsie ushinde Mamilioni.
Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni
Zombie Apocalypse ni Sloti yenye mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya Bonasi. Kwenye mstari wa ushindi ni ushindi mkubwa pekee unaolipwa.
Alama ya Wild hubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya Bonasi ya Kasino. Dau la chini kuanzia Tsh 10 sawa na 1.00 PTS.
Jinsi ya Kucheza Zombie Apocalypse Kwenye Kasino ya Mtandaoni
Kutengeneza ushindi mwingi kupitia kasino ya mtandaoni, bonyeza kitufe cha kubashiri/Gamble na ujaribu kukisia kama kadi/karata inayofuata ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako utaongezwa mara mbili Zaidi na kama utakosea basi ushindi wako utafutwa.
Sloti ya Zombie Apocalypse inakupa nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale tu unapoanza kucheza, mizunguko hii inaipata kwenye namba hizi 9,10,11,12,13,14 au 15. Kila alama ya Wild inayoonekana kwenye mzunguko ina nyongeza mara 2 au 3.
Kasino ya mtandaoni ina Jackpoti za aina 3 tofauti za Jackpot ambayo mchezaji anaweza kutarajia ushindi. Mchezaji anapobofya spin, asilimia kadhaa ya ushindi wake huingia kwenye sehemu ya jackpot.
Jackpot inayoendelea inakua, inakuwa kubwa zaidi na zaidi, hadi mchezaji mmoja atashinda. Zawadi ya jackpot huhamishiwa moja kwa moja kwenda akaunti ya pesa ya mchezaji.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
ZINAZOFANANA
Shindano la Mabingwa Expanse kukupa mamilioni Sikukuu hii
Cat Purry Kasino mtandaoni makulipo makubwa
Michuano ya Expanse kukupa mkwanja msimu huu wa Sikukuu