Biashara – MwanaHALISI Online

Biashara

Biashara

Kaboyoka alipigia chapuo zao la tangawizi

DSCN0464

MBUNGE wa Same Mashariki, Nagenjwa Kaboyoka (Chadema) ameitaka serikali kutoa kutangaza bei elekezi kwa wakulima wa tangawizi kutokana na wakulima wengi wa tangawizi kuibiwa kwa kuuza kwa bei ya chini, ...

Read More »

Wavuvi Muleba wataabika na uhalifu

Wavuvi wakiwa wameegesha mitumbwi yao baada ya kutoka kuvua samani baharini

KWA asilimia kubwa, wakazi wa kanda ya Ziwa hususani mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza, wanategemea mazao yatokanayo na shughuli za uvuvi ili kuendesha maisha yao ya kila siku. Anaandika Ashura Jumapili, Bukoba … ...

Read More »

Mradi wa gesi kutoka Mtwara wakamilika

Afisa Mahusiano wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud

MRADI mkubwa wa umeme wa gesi kupitia bomba kubwa kutoka Mtwara na Lindi hadi Kinyerezi jijini Dar es Salaam umekamilika na kwamba wananchi wameanza kunufaika. Anaandika Sarafina Lidwino … (endelea). Uthibitisho ...

Read More »

Ndege inayotumia nguvu za jua yazinduliwa

Ndege inayotumia nguvu ya jua (Solar Impulse 2) kabla ya kuanza kuruka

HISTORIA ya urushaji wa ndege inayotumia nguvu ya jua kwa kuzunguka Dunia imeandikwa. Anaandika Benedict Kimbache kwa msaada wa mashirika ya Habari. Ndege hii iliyopewa jina Solar Impulse-2 (SI2) ilianza ...

Read More »

Muonekano wa Iphone 6 ni babu kubwa

Iphone 6

Hata hivyo Samsung Galaxy Note 4 bado kinara iPhone 6 na iPhone 6 Plus ni simu za kisasa zilizotengenezwa na Apple Inc. Simu hizi ni mwendelezo wa matoleo ya simu ...

Read More »

Changamoto mpya 2045: Uhalifu kwa kutumia vishada na Vinasaba

Picha ya mharifu wa mitandao

NI changamoto gani tutakumbana nazo hapo mwaka 2045? Hili ni swali linalogonga vichwa vya walimwengu kwa sasa. Katika kujibu swali hili, kikundi cha magwiji wa jeshi la Uingereza wametabiri kuwa ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube