SIASA TANGULIZI Lissu aja na masharti ya mazungumzo, ataja Katiba mpya, kufutwa kwa tume ya Uchaguzi April 17, 2026 Erasto Masalu TUNDU Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemuambia mjumbe wa Jumuiya ya madola, Dk. Lazarus Chakwera kuwa ili Tanzania kupatikane maridhiano ya dhati inahitaji mabadiliko katika mifumo…
SIASA TANGULIZI Chadema kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima April 16, 2026 Fedrick Gama MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka na agizo jipya lenye uzito wa kisiasa, akiwataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kuanza mara moja maandalizi ya…
KIMATAIFA SIASA TANGULIZI Tanzania na kenya zatajwa ukandamizaji dhidi ya raia nje ya nchi-ripoti April 16, 2026 Fedrick Gama RIPOTI mpya ya Freedom House ya 2025 yaziorodhesha kwa mara ya kwanza Tanzania na Kenya miongoni mwa nchi zinazotuhumiwa kuwakandamiza raia wao nje ya mipaka.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…
SIASA TANGULIZI Chadema yaibuka kidedea April 15, 2026 Erasto Masalu MAHAKAMA ya Rufaa ya Jamhuri ya Muungano, imekiondolea zuio la kufanya shughuli za kisiasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Katika uamuzi wake uliosomwa…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI ACT yawasilisha Ripoti ya Uchaguzi uliovurugwa April 13, 2026 Fedrick Gama MWENYEKITI wa Chama cha ACT – Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji (Babu Duni), leo 13 Aprili 2026, amekutana na kufanya…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Tume ya 29 Oktoba yakutana na Rais Chakwera April 11, 2026 Erasto Masalu RAIS mstaafu wa Malawi, Dk. Lazarus Chakwera, leo Jumamosi, tarehe 11 Aprili 2026, amefanya mazungumzo na Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya 29 Oktoba 2025. Anaripoti Zakia Nanga, Dar…
SIASA TANGULIZI Chadema yateta na Rais Dk. Chakwera April 10, 2026 Erasto Masalu VIONGOZI wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekutana na Mjumbe aliyetumwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola nchini, Dk. Dk. Lazarus Chakwera, leo Ijumaa, tarehe 10 Aprili.…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI ACT-Wazalendo yampa mazito Chakwera April 10, 2026 Erasto Masalu CHAMA cha ACT- Wazalendo, kimewasilisha taarifa yake ya tathmini ya kina kuhusu hali ya kisiasa, mwenendo wa uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba, pamoja na athari zake kwa demokrasia, haki za…
SIASA TANGULIZI Mutungi akutana na Chakwera April 10, 2026 Erasto Masalu MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amekutana kwa mazungumzo na Dk. Lazarus Chakwera, mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…
HABARI MCHANGANYIKO SIASA TANGULIZI Mwaka mmoja wa Lissu gerezani April 9, 2026 Erasto Masalu NI mwaka mmoja umepita, tangu kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (Chadema), Tundu Lissu, kukamatwa na kushikiliwa gerezani kwa tuhuma za uchochezi na uhaini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar…