Mtaa umeamka na stori ya pesa safi. Meridianbet wameleta Books of Egypt kutoka Expanse Studios, mchezo unaokurudisha enzi za mafarao ambapo nguvu ya kujaribu ndiyo iliyoamua nani anatajirika. Hapa sio bahati peke yake, ni uthubutu, akili ya mchezo, na moyo wa kubaki uwanjani hadi dakika ya mwisho.
Kitu cha kwanza kukaa nacho kichwani ni alama ya kitabu, hii si ya kupuuza. Ndani ya huu mchezo, kitabu ni kila kitu, kinafanya kazi kama scatter pamoja na wild. Kama ukiona vitabu vitatu au zaidi vimeanguka popote, jua umejishindia mizunguko ya bure, na hapo ndipo upepo wa ushindi unaanza kuvuma kwa kasi.
Meridianbet wanakupa jukwaa pana la kubashiri, mechi kali za kimataifa hadi michezo ya kasino mtandaoni iliyojaa burudani. Ukiwa na odds zenye ushindani mkubwa, kila tiketi inakuwa na thamani zaidi. Jiunge sasa kupitia tovuti yao au piga *149*10#.
Ushindi kwenye Books of Egypt unalipwa kuanzia kushoto kwenda kulia, lakini mambo yanakuwa matamu zaidi pale scatters zinapoingia. Na kama hiyo haitoshi, kuna alama maalum inayokua ndani ya mchezo, ikiibuka inaweza kukutoa kwenye hali ngumu na kukuingiza moja kwa moja kwenye mstari wa ushindi.
Wabashiri wa kweli wanajua, pesa haiji kwa papara ni subira, mikakati na kujiamini. Books of Egypt imebeba mchanganyiko wa burudani na nafasi halisi ya kushinda, ikikupa nafasi ya kubadili siku yako kwa muda mfupi. Hata ukiingia na kidogo, unaweza kutoka kibabe.
Usikubali kubaki nyuma wakati wengine wanaandika historia zao. Ingia Meridianbet sasa, cheza Books of Egypt, na acha mafarao wakuongoze kwenye hazina yako. Hii ndio nafasi yako, ichukue na uoneshe mtaa jinsi ushindi unavyopatikana.
ZINAZOFANANA
Fortune Farm imefungulwa, cheza, vuna kikubwa na Meridianbet
Harakati za ushindi zipo Meridianbet ukicheza EGT Digital
Hapa ndipo Mabingwa wanazaliwa, karibu Big Bounty Challenge