Esmail Khatib
WAZIRI wa Ujasusi wa Iran, Esmail Khatib, ameuawa. Rais wa Iran amethibitisha kuwa waziri huyo wa ujasusi, Esmail Khatib amethibitisha katika taarifa yake kwa umma.
Awali, Israel ilisema ilimuua Khatib katika shambulio usiku kucha.
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz ameeleza. “Jana usiku Waziri wa Ujasusi wa Iran Khatib pia aliuawa,” Katz alieleza katika taarifa yake kwa umma.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), limeeleza katika taarifa yake.
Mazishi ya mkuu wa usalama wa Iran Ali Larijani na Gholamreza Soleimani, mkuu wa kikosi cha kijeshi cha Basij, yatafanyika leo mjini Tehran.
Sherehe hiyo, ambayo inatarajiwa kuanza saa 13:30 kwa saa za eneo katika uwanja wa Enghelab mjini Tehran.
Aidha, mazidhi ya mabaharia 84 waliouawa wakati Marekani ilipoizamisha meli ya kivita ya Iran – Iris Dena – kwa kutumia torpedo, tarehe 4 Machi.
Iran ilitangaza Jumanne kwamba Larijani na Soleimani wote wameuawa katika mashambulizi ya Israel, huku mkuu wa jeshi la Iran Amir Hatami akitishia kulipiza kisasi kufuatia vifo hivyo.
ZINAZOFANANA
Radi yaua wanafunzi watatu Dar
Magufuli alibadilisha fikra za uongozi Tanzania – Dk. Nchimbi
Balozi Nchimbi kuongoza miaka mitano ya kifo cha Magufuli