
Michezo ya kufuzu Kombe la Dunia barani Ulaya imezidi kupamba moto, huku jioni ya leo ikitarajiwa kujaa makali ya ushindani katika makundi C, G, H na L. Wakati mataifa makubwa yakisaka tiketi ya kufuzu, Meridianbet imekuja na odds za kuvutia na ofa kabambe kwa mashabiki wa kubashiri wanaotaka faida maradufu.
Katika Kundi C, macho yote yatakuwa kwa Denmark watakapovaana na Belarus saa 21:45, huku Scotland nao wakikaribisha Ugiriki muda huo huo. Denmark wanaingia wakiwa na morali ya juu wakitegemea mastaa wao wa ligi ya England, lakini Scotland wamedhamiria kulinda heshima ya nyumbani. Hii ni nafasi murua kwa wabashiri kufuatilia pambano la hadhi ya kimataifa.
Kundi G litazindua burudani mapema kwa Finland kuwakaribisha Lithuania saa 19:00 kabla ya Malta kupambana na Netherlands saa 21:45. Wakiwa na kikosi chenye vipaji vya hali ya juu, Uholanzi wanabeba matumaini ya mashabiki wengi, lakini Malta wanaweza kusababisha mshangao mkubwa. Meridianbet imeweka odds nono kwa mechi hii, ikitoa fursa kwa wabashiri wanaopenda matokeo yasiyotabirika.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za vilabu za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
Katika Kundi H, Austria wanatarajiwa kuonyesha ubabe dhidi ya San Marino, huku Cyprus wakipambana na Bosnia & Herzegovina saa 21:45. Bosnia wanahitaji pointi tatu muhimu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa kundi, huku San Marino wakisaka matokeo ya kihistoria. Meridianbet inatoa odds bora kwa kila pambano, ikiwapa mashabiki nafasi ya kuongeza ushindi wao.
Kundi L nalo limejaa mvuto, ambapo Czechia watakuwa wenyeji wa Croatia saa 21:45, huku Faroe Islands wakivaana na Montenegro. Croatia, wenye uzoefu mkubwa wa mashindano makubwa, wanatarajiwa kuonyesha kiwango cha hali ya juu, lakini Czechia wapo tayari kujibu mapigo. Kwa mashabiki wa michezo mikubwa, Meridianbet imeweka odds spesheli kwa mchezo huu, ikiruhusu wabashiri kuchagua matokeo mbalimbali kwa faida zaidi.
Kwa mashabiki wa soka na wapenzi wa kubashiri, Meridianbet ndiyo chaguo sahihi. Odds ni kubwa, huduma ni rahisi, na ushindi ni halisi.
ZINAZOFANANA
Afrika yazidi kuchanja mbuga mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026
Ofa kabambe ya karibu kwa wateja wapya wa Meridianbet.
Bashiri bingwa wa EPL na Meridianbet umalize msimu kitajiri