September 13, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Hospitali ya Kifuma yanufaika na ujio wa Meridianbet

 

IKIWA leo hii ni Jumamosi nzuri kabisa ya mteja wa Meridianbet kutengeneza pesa kwa kubashiri mechi za ligi mbalimbali, wakali hao wa ubashiri waliamua kutemebelea hospitali ya Kifuma ambayo inapatikana maeneo ya Sinza jijini Dar es salaam na kutoa mapipa ya taka (Dustbins).

Meridianbet waliamua kusaidia kupeleka dustibins katika hospitali hiyo ikiwa ni njia mojawapo ya kuboresha usafi na kuhakikisha mazingira yanakuwa safi muda wote kwani usafi katika hospitali ni kitu cha muhimu sana kutokana na msongamano wa watu wengi ambao wanakwenda kupatiwa matibabu.

Kampuni inalenga kushirikiana na hospitali katika kupambana na changamoto za taka ngumu na kuongeza uelewa wa usafi wa mazingira kwa wagonjwa, wauguzi na wananchi kwa ujumla kwani kulinda afya ni kitu kizuri sana, lakini pia ni vyema kujilinda na magonjwa ya mlipuko.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Akizungumza wakati wa makabidhiano, Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram alisema kuwa, “Meridianbet inaamini afya bora inaanzia katika mazingira safi. Kupitia msaada huu wa dustbins, tunataka kuunga mkono juhudi za Hospitali ya Kifuma katika kuhakikisha usafi unazingatiwa kila wakati. Ni jukumu letu kama kampuni kuhakikisha tunarudisha kwa jamii na kushirikiana nao katika kuleta mabadiliko chanya.”

Na pia kwa upande wa Hospitali hiyo ya Kifuma hapo Sinza baada ya kupokea Dustbins hizo alisema kuwa, “Tunafurahi kuona Meridianbet imetambua changamoto yetu ya taka na kuja na suluhisho. Msaada huu utasaidia kuboresha mazingira ya hospitali na kuimarisha huduma kwa wagonjwa wetu.”

Kwa msaada huo ambao Meridianbet ilipeleka katika hospitali hiyo, inathibitisha kuwa kampuni hiyo si kwaajili ya michezo tuu bali ni kwaajili ya kuangalia na kutatua changamoto ambazo zinaikabili jamii yetu kwenye sekta mbalimbali ikiwemo na afya pia.

Meridianbet itaendelea siku zote kuwaunga mkono watu wenye uhitaji katika jamii yetu kwani wao na jamii wanategemeana kwa kila kitu. Lakini pia Kampuni hiyo inawashihi watu kutunza mazingira kwa kutokutupa taka hovyo ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.

Leo hii mechi kibao zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana Meridianbet pekee. Ingia na utengeneza jamvi lako la ushindi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!