RAIS mstaafu wa Peru, Alejandro Toledo (74) amehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi minne jela kwa utakatishaji fedha wakati akiwa madarakani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).
Mahakama nchini Peru imetoa hukumu hiyo ikiwa ni kifungo cha pili kwa mstaafu huyo ambaye alishahukumiwa kifungo cha miaka miaka 20 kwa kosa la rushwa mwaka 2024.
Toledo atapelekwa katika gereza maalumu ambapo pia wanashikiliwa marais wengine wa zamani, Pedro Castillo na ollanta Humala.
ZINAZOFANANA
Tanzania yawekewa vikwazo vipya Marekani
Jaribio la Mapinduzi Benin lazimwa
Serikali ya Benin imepinduliwa