July 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Zawadi za kuvutia zinakusubiri kwenye Expanse Tournament ya Meridianbet

 

Ikiwa bado hujajiunga kwenye Expanse Tournament ya Meridianbet, basi huu ni wakati wako kufanya maamuzi sahihi kuelekea utajiri wako kwani Meridianbet wamekuja na bonge la promosheni kwa wateja wake. Promosheni hii ya kipekee inayowahusisha wapenzi wa michezo ya sloti na inaendelea hadi tarehe 22 Julai 2025, yaani zimebaki siku chache tu kabla mshindi mkuu kujinyakulia TZS 1,000,000 taslimu.

Kupitia promosheni hii, Meridianbet inakupa nafasi ya kushiriki kwenye michezo ya Expanse kama vile Pia Premium, 100 Super Icy, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale na Zombie Apocalypse. Kinachotakiwa ni kitu rahisi tu, kuwa na akaunti halali ya Meridianbet, kuwa na umri wa miaka 18 au zaidi, na cheza kwa dau la kuanzia TZS 1,000 kwa kila mzunguko na utakua kwenye mbio za ubingwa.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Wachezaji watashindanishwa kulingana na alama wanazokusanya kupitia uwiano wa ushindi dhidi ya dau waliloweka (win/bet). Nafasi yako ya kuwa miongoni mwa washindi wa juu iko wazi lakini pia na zawadi ni kubwa. Mshindi wa kwanza ataondoka na TZS 1,000,000 taslimu, wa pili TZS 500,000, na nafasi ya tatu na nne watapokea TZS 250,000 kila mmoja. Nafasi ya tano atajinyakulia TZS 100,000.

Na kwa wale wa nafasi ya 6 hadi 10, spin 100 za bure kwenye Pia Premium zinawangoja, huku nafasi za 11 hadi 20 wakipokea spin 50 za bure. Jambo la kuzingatia ni kwamba ushindi wowote unaotokana na mizunguko ya bure unahitaji kuchezwa tena mara 60 kabla ya kuhamishiwa kwenye akaunti yako ya pesa halisi, yaani hii ni nafasi ya kuongeza ushindi wako maradufu.

Washindi wote wataarifiwa moja kwa moja na Meridianbet, huku promosheni hii ikiwa ya kipekee kwa akaunti moja kwa kila mtumiaji. Kwa kushiriki, mchezaji atakuwa umekubali vigezo na masharti yote ya ofa, huku Meridianbet ikihifadhi haki ya kufanya mabadiliko yoyote kwa ajili ya uadilifu wa shindano.

Usiache nafasi hii ikupite. Tembelea sasa tovuti ya meridianbet.co.tz, pakua app ya Meridianbet, jisajili, shiriki kwenye Expanse Tournament, na uwe mmoja wa mabingwa watakaoshinda zawadi za pesa taslimu na mizunguko ya bure. Bahati iko mikononi mwako, spin sasa, shinda mamilioni.

About The Author

error: Content is protected !!