
Kila siku ni siku mpya ya kushinda zawadi kibao ikiwemo Simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa kutoka kwa wakali wa ubashiri Meridianbet. Kampeni hii pendwa inaitwa “Jumatano ya Zawadi”.
Mteja wa Meridianbet ili ashiriki kwenye kampeni hii ni lazima kwanza awe anatumia USSD au kitochi kwenye kufanya ubashiri mechi zake ambazo anazipenda kutoka kwenye ligi yoyote ile.
Promosheni hii ni ya mwezi mmoja pekee ambayo imeanza tarehe 01 Julai na mwisho wake itakua ni tarehe 31 Julai huku nafasi ya wewe kujishindia Samsung A25 ikiwa nje nje. Na fursa hii ni kwa wateja wa USSD pekee hivyo kama bado hujajiunga muda ndio hii. Piga *149*10# ujisajili sasa.
Meridianbet inasema kuwa simu ambazo zinatolewa zipo 4 pekee ambapo kila Jumatano kutakuwa na droo ya kuwapata washindi. Unaweza kuwa moja ya washindi ambao watafika moja kwa moja makao makuu ya Meridianbet jijini Dar es salaam kwaajili ya kujipatia simu zao.
Piga pesa kirahisi, cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Poker, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kumbuka pia wakati ukiwa unabashiri mechi zako lazima zianzie mechi 3 na kuendelea ndipo tiketi yako itahesabiwa kwenye washindi. Ni rahisi sana suka jamvi lako ambapo ndani ya Meridianbet mechi zipo kibao tena zenye ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000.
Meridianbet inasisitiza kuwa tiketi ambazo zitakuwa na TURBOCASH zitakuwa batili hazitahesabiwa, hivyo mchezaji akibashiri mechi zake inabidi asubiri mechi zimalizike ndipo tiketi zake zitahesabiwa kwenye watu wanaojishindia Samsung A25.
ZINAZOFANANA
Meridianbet kutoa Bajaj Mpya na safari ya Z’bar kwa watumiaji wa Airtel Money
Nafasi ya kuondoka na Samsung A25 unayo leo
Shinda Samsung Galaxy A25 mpya kutoka Meridianbet.