July 3, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Diogo Jota wa Liverpool afariki kwa ajalin

 

KLABU ya Liverpool ya Uingereza imepata pigo baada ya mshambuliaji wake, Diogo Jota kufariki katika ajali ya barabarani akiwa na umri wa miaka 28. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).

Kaka yake mshambuliaji huyo wa Ureno Andre Silva pia alifariki katika ajali hiyo iliyotokea katika jimbo la Zamora nchini Uhispania.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 pia alikuwa mchezaji wa kulipwa, wa klabu ya daraja la pili ya Ureno ya Penafiel.

Gazeti la Guardia Civil limeeleza kuwa Jota na kaka yake walifariki saa sita usiku siku ya Alhamisi saa za Uhispania.

About The Author

error: Content is protected !!