June 28, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet kutoa Samsung A25 kwa wacheza Super Heli

 

Kampuni namba moja ya ubashiri nchini, Meridianbet imekuja na kubwa kuliko. Ni promosheni baab kubwa ya jishindie Samsung A25 na Super Heli. Promosheni hii ni maalumu kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni ambao kupitia mchezo pendwa wa super heli, watakua kwenye nafasi kubwa ya kujishindia simu mpya ya kisasa aina ya Samsung A25.

Mchezo huu wa Super Heli umekua ukizidi kujizolea umaarufu kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino kutokana na muundo wake pamoja na wepesi wake wa kuchezeka kwani mchezo huu unakutaka kupaisha ndege tu baada ya kuweka dau lako kisha namna ndege inavyozidi kupaa ndio namna pesa yako inavyojizalisha na njia ya ushindi ni wewe kutoa pesa yako kabla ya ndege kuanguka.

NB; Mbali na Super Heli, Meridianbet inatoa michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na kubashiri mechi za kimataifa kwa odds nzuri, njia nyingine rahisi ya kuongeza mapato yako. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kuanza sasa.

Mchezo huu unaweza kuucheza kwa dau lolote lakini kwa wanakasino mtandaoni wanajua kabisa kwamba dau kubwa siku zote uwa na faida kubwa Zaidi. Sasa Meridianbet wameamua si tu kushinda pesa kwa dau unaloweka, bali pia kujipa fursa ya kumiliki simu kali kabisa bila kuingia gharama kubwa Zaidi.

Ili kuwa mmoja wa washindi wa simu hizi, jisajili na meridianbet kwa kufungua akaunti yako mtandaoni kupitia meridianbet.co.tz kisha weka dau lako na shiriki mchezo huu pendwa wa Super Heli na uwenda bahati ikawa upande wako na ukafanikiwa kujishindia simu hii ya Samsung A25.

About The Author

error: Content is protected !!