
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inatarajiwa kushuka dimbani usiku wa leo, Alhamisi, kuumana na wenyeji wao, Bafana Bafana ya Afrika Kusini, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika kwenye Uwanja wa Peter Mokaba, mjini Polokwane, kuanzia saa 2:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Muda umebaki mchache, weka mkeka wako sasa na Meridianbet.
Mchezo huo, japokuwa ni wa kirafiki, umepewa umuhimu mkubwa na timu zote mbili, ukitazamwa kama sehemu muhimu ya maandalizi kuelekea mashindano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (COSAFA), yanayoendelea nchini Afrika Kusini. Meridianbet wamekupa odds kubwa kuelekea mchezo huu.
Kwa upande wa Tanzania, mchezo huo pia unatumika kama maandalizi ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), inayotarajiwa kuanza mwezi Agosti, pamoja na kampeni ya kufuzu Kombe la Dunia inayotarajiwa kuendelea mwezi Septemba.
Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, amesema kuwa mechi dhidi ya Afrika Kusini ni sehemu muhimu ya maandalizi, ikitoa fursa ya kupima utayari wa kikosi chake katika mazingira ya ushindani wa juu.
Kikosi cha Taifa Stars kinaundwa na wachezaji wa ligi ya ndani na wale wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi. Miongoni mwao ni Simon Msuva (Al Talaba – Iraq), Selemani Mwalimu (Wydad AC – Morocco), na Alphonce Mabula (Shamakhi – Azerbaijan). Wachezaji hao wanatarajiwa kuongeza uzoefu wa kimataifa na kuimarisha uchezaji wa timu katika mashindano yajayo, yakiwemo yale ya CECAFA. Hii ni fursa ya ushindi kwako mbashiri kwa kujiunga na kuweka mkeka wako na Meridianbet.
Katika historia ya michezo kati ya timu hizo, Tanzania na Afrika Kusini zimekutana mara tatu. Mwaka 2002 zilitoa sare ya bao 1-1, mwaka 2011 Afrika Kusini ilishinda bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki, na mwaka 2017 Tanzania iliibuka na ushindi wa bao 1-0 katika michuano ya COSAFA.
Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa wa ushindani mkali na burudani ya hali ya juu, huku Taifa Stars ikisaka kuendeleza historia nzuri dhidi ya Bafana Bafana. Wapenzi wa soka na wadau wa ubashiri hii ni fursa ya kutengeneza pesa kwa kujisajili na kuweka mkeka kupitia Meridianbet.
ZINAZOFANANA
Uefa 2024/25, historia imeandikwa na washindi wameibuka
NBC yakabidhi Kombe la Ubingwa wa Vijana (U20) kwa Azam FC
Dau dogo, pesa nyingi Betis vs Chelsea