February 24, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Aviator kukupatia PS5 leo

 

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuletea promosheni kali ya wewe hapo kuondoka na PS5 Slim kabisa. Una siku chache tuu za wewe kunyakua zawadi yako.

Promosheni hii ya Aviator imeanza tangu tarehe 21 mwezi huu mpaka Machi tarehe 10 ambapo ndio itakuwa kilele chake huku wakati wa hiyo promosheni ndani ya Meridianbet kutakuwa na mvua 25 za bure kila siku, na ikumbukwe kuwa wachezaji 20 watapokea beti za mvua za bure muda wote.

Lakini vilevile Meridianbet wanakwambia hivi kila beti ya mvua inayotolewa ina thamani ya shilingi 200, huku mchezaji ambaye anacheza Aviator akiruhusiwa ku CLAIM beti ya mvua mara moja pekee kwa kila mzunguko.

Jumatatu ya leo, suka jamvi lako na Meridianbet pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile hizeo FREE BETS ambazo mchezaji anazipata inabidi azitumie ndani ya 10 baada ya kubonyeza kitufe cha CLAIM. Lakini mbali na FREE BETS RAINS za kila siku, Meridianbet itatoa zawadi kwa wachezaji 20 bora kwenye ubao wa uongozi wenye kiwango cha juu cha malipo mwishoni mwa promosheni.

ZAWADI ZA WASHINDI HIZI HAPA

  •     Mshindi wa 1 atapata PS5 yenye 1 TB, ambayo utaipata promosheni ikimalizika.
  •     Mshindi wa 2 yeye atapata free bet 40 za bure, ambapo kila moja yenye thamani ya shilingi 5000
  •     Mshindi wa 3 naye atapata Free bets 30 za bure, ambapo kila moja ina thamani ya shilingi 5000
  •     Mshindi wa 4 na 5 atapata Free bets 20 za bure, kila moja ikiwa na thamani ya shilingi 5000
  • Mshindi wa 6-10 watapata Free bets 10, kila moja yenye thamani ya shilingi 5000

Hivyo ingia Meridianbet sasa na ucheze mchezo pndwa kabisa wa AVIATOR au kindege ambao unakuwezesha wewe kujishindi zawadi kedekede. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!