![](https://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2025/02/LOYALTY-SHOWER-1080X1080-1024x1024.png)
Chaguo jipya la kubashiri linalofahamika kama Early payout linaendelea kumwaga pesa kwa wale wanaobashiri michezo mbalimbali inayopigwa kila siku, Kwani chaguo hili limegeuka kua pendwa kwa wateja kwakua ni rahisi kushinda mkwanja
Meridianbet wamekuja na kitu kinaitwa early payout hii ikiwa na maana mshindi atahesabiwa pale tu timu ambayo ameiwekea ubashiri kuongoza kwa tofauti ya mabao mawili, Kwa mfano inacheza Man United Vs Brighton na mteja ameiwekea ubashiri Man United na kuongoza 2-0 basi mteja huyo atahesabika mshindi.
Bonasi hii itahusisha wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hicho kabambe kabisa kwajili ya kufanyia ubashiri wako kwenye ligi mbalimbali ambazo zitakuepo siku husika.
Kupitia mfumo huu utawawezesha wale wateja wa kubashiri mpira wa miguu kujipigia mkwanja kirahisi sana, Kwani ni chaguo zuri sana haswa kwa timu ambazo zimekua zina uwezo mkubwa wa kufunga magoli hii ni neema kwa wabashiri
Early payout kwasasa inafanya kazi kwenye mpira wa miguu peke yake kwasasa ndani ya Meridianbet, Lakini upo mchakato madhubuti kuhakikisha chaguo hili linaanza kufanya kazi na kwenye mpira wa kikapu (Basketball) na wateja wanaobashiri upande huo waweze kufurahia chaguo hili matata kabisa.
Changamkia fursa leo ukijisajili na tovuti ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet uweze kushiriki shindano hili ambalo linaendelea, Ambapo kwa mteja yeyote ambaye atajisajili anaweza kujishindia bonasi ya shilingi 10,000 na kuwekea kwenye akaunti yake.
Kwa matukio yote ya Early payout yatakua na alama ya kijana kwajili ya kukutambulisha wewe mteja kua chaguo ulilochagua limepewa hadhi ya Early payout na timu yako uliyoichagua ikifanikiwa kupata magoli mawili tayari mkeka wako utakua umetiki.
NB: Jisajiri na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Mkwanja upo kasino ya mtandaoni Meridianbet
Mchongo ni Blackjack Live ya Meridianbet, nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa
Cheza Sloti ya Spin Spin Sugar mchezo mpya wa kasino