February 6, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

ACT-Wazalendo chaunda Kamati ya Ilani

 

DOROTHY Semu Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, ameteuzi Kamati ya Kuunda ilani y chama hicho ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ea Salaam … (endelea).

Kiongozi huyo ameyatangaza majina hayo leo tarehe 6 Februali 2025.

Kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti, Emmanuel Lazarus Mvula na Katibu wa Kamati ni Idrisa Kweweta.

Wajumbe ni Dk. Elizabeth Sanga, Prof. Omar Fakih, Mary Mongi, Mtutura Abdallah Mtutura, Pavu Abdallah, Edgar Mkosamali, Abdul Nondo, Yasinta Cornell Awiti, Seif Suleiman Hamad, Shangwe Ayo, Humphrey Mrema, Maharagande Mbarala.

Kwa upande wa Sekretarieti ya Kamati ni Mshenga Juma, Jasper Sabuni, Jackline Prosper Ndonde na Said Mahalifa.

About The Author

error: Content is protected !!