October 22, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Ushindi wa UEFA unaanzia Meridianbet

Je unajua kuwa ushindi mnono kabisa wa UEFA unaanzia kwa mabingwa wa ubashiri Tanzania ambao ni Meridianbet?. Timu zipo kibao za kukupatia maokoto ya maana kabisa. Unangoja nini sasa kutengeneza pesa zako leo?

Galatasaray kutoka kule Uturuki, baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mwenyeji wa Bodo/Glimt kutoka kule Norway ambao mpaka sasa wana pointi 2 pekee kwenye mechi mbili. Mwenyeji anataka kuendeleza ubabe wake kwa kushinda mechi hii pia. Je ataweza?. Bashiri sasa.

Kwa upande wa Atalanta wao wataumana vikali dhidi ya Slavia Prague huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 pekee. Mwenyeji mechi iliyopita ametoka kushinda huku mgeni yeye amepoteza vikali hivyo ushindi huu ni muhimu sana kwenye mechi hii. Je mwenyeji atakubali kupokea kichapo akiwa nyumbani?. Tandika jamvi hapa.

Nao Club Brugge watasafiri mpaka Allianz Arena kumenyana dhidi ya Bayern Munich ambao ni moja ya timu ambayo ipo kwenye kiwango bora kabisa ikishinda mechi zake zote mbili za kwanza. Ukienda pale Meridianbet nafasi kubwa ya ushindi Kompany na vijana wake. Je wewe kutengeneza pesa unampa nani ushindi?. Jisajili hapa.

Tusua mkwanja mrefu kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Enzo Maresca na Chelsea yake baada ya kupata ushindi mwembamba mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Ajax ambao mpaka sasa wana hawan pointi. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili walitoa sare ya kufungana mabao 4-4. Je ni The Blues pale Darajani kuondoka na ushindi au Waholanzi wataweka kigingi?. Tengeneza jamvi hapa.

Eintracht Frankfurt uso kwa uso dhidi ya Liverpool ambao wamepoteza mechi 3 mfululizo kwenye mashindano. Hii ni mechi ambayo Arne Slot anahitaji ushindi kwa hali na mali, lakini je wenyeji watakubali kupoteza mechi hii nao wkaiwa nyumbani?. Jamvi lako unaliweka kwa nani akupatie pesa?. Suka jamvi hapa.

Vilevile AS Monaco atamleta nyumbani kwake Tottenham Hot Spurs ya kule Uingereza ambao mechi yao iliyopita walitoa sare, halikadhalika kwa mwenyeji wake naye alitoa sare. Ushindi ni muhimu kwa timu zote hizi mbili huku Meridianbet wakiweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Unasubiri nini sasa, Beti hapa.

Mabingwa mara nyingi wa michuano hii Real Madrid watakuwa Bernabeu kusaka ushindi dhidi ya Juventus ambao wana pointi 2 mpaka sasa. Xabi na Alonso na vijana wake wanahitaji kuendeleza ubabe kwenye michuano hii huku Bibi Kizee yeye anataka ushindi ili angalua upande juu. Mara ya mwisho kukutana Real walipoteza. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!